Wasichana hamjitambui

Wasichana hamjitambui

Fuata haya-Jitahidi kuwadanganya ili uwapate,Usimpende mwanamke utalia baadae,Usiwe na huruma kwa viumbe hawa,Ukipewa penzi achana nae ili uepuke kugeuzwa ajira,Usiwaamini hawa viumbe ni waongo,Unatakiwa kuwatendea haki ya kuwapa penzi wakizingua songa mbele,mtazamo wangu nimejifunza kwa hawa akina hawa,narudia watumie tu usiwafanye wawe marafiki,ila ukifika umri wa kuoa oa usiwaze
 
Psychology ya wanawake dictates kuwa wanatawaliwa na fantasies za mapenzi ambazo asilimia kubwa ya hizo fantasies never materialize. Utakuta mwanamke anataka ama kujipangia aje kuolewa na mtu tajiri ili ajikomboe kiuchumi ama kuwatambia wenzake kuwa kapata. Atakuja mwanamme wa kawaida (mfanyakazi) kuchumbia, demu atadengua kusubiri mwenye gari. Mwenye gari akimchukua na kumnyanyasa pamoj na kumuumiza roho yake kwa kuwa na mademu lukuki ndipo anakuwa na fuaraha ya majonzi ila kuishi kwa amani na mtu wa kawaida wanaona si halali, Kwao bora wateseke na kujiliza ndio poa.
Mkuu umenena vyema kabisa.
 
:loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco:
 
Sawa mkuu mwakibolo, wape ur name hadi washike adabu
 
Ulichoandika ni funzo kwa jinsia ya kike lakini pia jiangalie hao waongo wamekuzidi nini mpaka wakushinde?
 
Hivi mnaona mwanamke kuzaa ni tatizo?ni mzigo? Wenye mawazo ya hivi sijui mnakuaga wagumba....

Nina mawazo ya hivi mwenyewe nimezalisha,siwezi kumuoa kwa sababu nilimdanganya uhalisia wa maisha yangu ili nimpate,na nitaendelea kudanganya ili niwapate,najua Mwalimu wa wanawake alikuwa kipofu na ni marehemu,siwezi kuacha kuwatumia
 
Ukweli ni kwamba wanaume wengi wapole huwa pia ni WAOGA balaa.. yaani hata kumfuata mdada na kumsalimia kwao ni ishu, wao wanataka sijui mwanamke awafuate? Wakati vijana chakaramu wanajichanganya na mademu kibao, wanapiga nao stori, blaa blaa nyingi huku na huku wameng'oa mzigo..!
Na pia sio kweli kwamba mademu wengi huwa wanafuata hela, ukweli ni kwamba vijana wenye hela huwa wana komfidensi fulani ambayo ndio mademu wanaipenda! Vijana wengi wenye hela huwa wanakula mademu wakali na hawawapi hata senti tano..!
 
Watu wapole mnakuaga hamna amsha amsha mara nyingi mnaboa
ila pole mwayego

Umeona eeeh........amsha popo mwanzo mwisho ndio mpango........sasa unakuja kuniletea pozi za Juma na Roza......wapi na wapi........

we kaka pole yako.......mtafute Roza wako.........maana nilichokuja kugundua.......unapenda usivyovipata............
 
Ni dhahiri ndege mjanja hunaswa na tundu bovu na mwenye kisu ndiye atakayekula nyama...Mapenzi pesa na mbwembwe upole na heshima peleka church!
 
usije ukawa unawazalisha malaya ukadhani unazalisha wanawake, wanawake wenye akili hawazalishwi hovyo.

Halafu ngoja nikuambie ndugu kumzalisha mwanamke haumkomoi hata kidogo maana wanawake kwa sasa wanataka watoto hata kutoka kwa mwanaume kichaa kama wewe.

Don't underestimate the power of woman
 
daaaah aiseee JF ni raha mwanzo mwenga mie hainipit nusu saa sijaperuz....
 
asili ya mwanamke kudaganywa! Sasa kama wewe unaenda na ulokole! Ndo ivyo tena
 
Kwani kuolewa ni lazima? Ndoa nazo majanga tu ni afadhali kujizalia tu kuliko kubanana na headache ya mwanaume ;-)
 
Nina mawazo ya hivi mwenyewe nimezalisha,siwezi kumuoa kwa sababu nilimdanganya uhalisia wa maisha yangu ili nimpate,na nitaendelea kudanganya ili niwapate,najua Mwalimu wa wanawake alikuwa kipofu na ni marehemu,siwezi kuacha kuwatumia
Ooh kumbe umezalisha, we ni mkunga?
 
Pole sana. Ndiyo walivyo. Inatia hasira na uchungu.
 
Back
Top Bottom