Wasichana hamjitambui

Wasichana hamjitambui

Change yourself utashangaa matokeo mleta mada we ndo hutak kubadilika ndo maana
 
Sory ntakaowaudhi ila wanawake wanaboa, utakuta wanawakataa watu wapole wema wanakuja wawaoe, wanaleta mapozi wanaringa
WANASHOBOKEA VIBITOZI, WAUZA SURA, AU WATU WAONGO WANAODANGANYA wanakuja kujijua mda umeenda washachezewa mwishowe wanazalishwa tu wa kuwaoa hawawaoni tena


Psychology ya wanawake dictates kuwa wanatawaliwa na fantasies za mapenzi ambazo asilimia kubwa ya hizo fantasies never materialize. Utakuta mwanamke anataka ama kujipangia aje kuolewa na mtu tajiri ili ajikomboe kiuchumi ama kuwatambia wenzake kuwa kapata. Atakuja mwanamme wa kawaida (mfanyakazi) kuchumbia, demu atadengua kusubiri mwenye gari. Mwenye gari akimchukua na kumnyanyasa pamoj na kumuumiza roho yake kwa kuwa na mademu lukuki ndipo anakuwa na fuaraha ya majonzi ila kuishi kwa amani na mtu wa kawaida wanaona si halali, Kwao bora wateseke na kujiliza ndio poa.
 
  • Thanks
Reactions: naa
You need to stop playing round with all them clowns and the wangstas Good girls gotta get down with them gangstas #check_on_it
 
Watu wapole mnakuaga hamna amsha amsha mara nyingi mnaboa
ila pole mwayego

Teh teh...wengi wao wanakuwa hawana surprise zozote ..utendaji,ratiba na kauli zao ni zilezile..ukiandaa kidate unajua tu kinachoenda kufanyika a to z,ukiwa unafanya nae sherehe mapigo ni yale yale deile,mkikaa kuongea story ni zilezile lazima mtu aboreke
 
Girls wa siku hz wanapenda mtu mhuni mhuni flan hivi, sa ukijitia ulokole huwapati,!



Na wale mademu walokole ni wale waliokwisha fanya umalaya/uchangu siku za nyuma, umri umewaenda wanataka kutulia kwa kujiingiza makanisani ili waje waolewe na jamaa wasiojitambua (walokole) katika arranged marriages by a sorry ass pastor ambaye anakula hao mademu kama hana akili vile.
 
Yategemea na swaga lako, nina rafiki yangu ni mpole balaa ila ni kisu, anawala kimya kimya hadi wa mabest zake, LAKINI sio wangu!
 
Itakuchukua maisha yako yote ili uweze kuwaelewa hawa wanawake
siku utakapokuja kuwaelewa ndio siku utakayokufa

trust me

na mimi naongeza never try to study o understand a woman you will not graduate,just try to enjoy them......
 
Hahaaaaaaaa sio kwamba wamekukata thats why malalamiko mengi
 
Upole mwingi sio mzuri kwenye mahusiano..hususani kwa mtt wa kiume..mwanaume mpole ni rahisi kumcontrol..wanawake wengi wanaojielewa hawapendi kuwa na mwanaume wa dizaini hizo..mwanamke akukutawala heshima inapungua..na anakuwa na uhuru wa kufanya mambo mengi ambayo mengine yatakukwaza na kumuona hajielewi mwisho wa siku mkaachana...pia wanaume wapole hawana amsha amsha..wengi wanaboa..mwanamke anapenda mtu atakaye mfanya afurahi/ acheke akiwa nae,mtu ambaye hata akikuona na msichana kawivu kanamjia kwa mbali,mtu ambaye asipokwepo around pengo lake linaonekana...sasa mwanaume uko doro 24/7 uwepo au usiwepo mtu anajionea sawa tu..
 
Teh teh...wengi wao wanakuwa hawana surprise zozote ..utendaji,ratiba na kauli zao ni zilezile..ukiandaa kidate unajua tu kinachoenda kufanyika a to z,ukiwa unafanya nae sherehe mapigo ni yale yale deile,mkikaa kuongea story ni zilezile lazima mtu aboreke
Kila kitu okay baby, sawa baby ukichelewa kurudi anajisononekea tu....
sometimes tunaenjoy kupigwa mabeat buana " uko wapi? Rudi haraka" wapole hawanaga hizo
 
Kila kitu okay baby, sawa baby ukichelewa kurudi anajisononekea tu....
sometimes tunaenjoy kupigwa mabeat buana " uko wapi? Rudi haraka" wapole hawanaga hizo

kumbe ndo swaga zenu eeehh........sasa ni mwendo wa beat mtindo mmoja
 
My point exactly

kuna mwanaume ukikuta anafanya ivo jua he got no interest kwako so anakupa uhuru akitegemea utautumia vbaya apate sababu ya kukutema................ila km ndo tabia yake basi tatzo uyo!!!
 
:loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco::loco:
 
Back
Top Bottom