Washindi wa tuzo za MTV EMA 2021 hawa hapa. Diamond atoka mikono mitupu

mmmhhhhhhh kwa mahaba hayo kwa lil nas itabidi nifatilie mwenendo wako kwa ukaribu :D
kuwa huru tyuuh kufuatilia, Montero baby n kipenzi changu, yaan leo nna furaha tupu moyo wangu uko full happy, had chakula nakisikilizia kinapoishia,

Montero beibeeeh kajua kunikosha wallah, weuweeeeeeh.
 
Binadamu hatujawahi kuelewa, kuwa mchezo wa Kura Haujawi kuwa Fair. Chochote kinacho husisha kupiga kura hakijawahi kuwa FAIR.

Process ya Kwanza , wao wanakaa wanawaletea list. Vigezo gani wamefuata hadi kuwaweka kwenye list hatujui, ni nani aliwapendekeza wapi kwa njia Gani Sisi Hatujui.

Then booooom tunaletewa tuwapigie kura halafu unataka FAIR kwenye kura zinazopigwa. Haiwezi tokea. Unless tuanzie mwanzo kupendekeza nani aingie nani asiingie.

Sasa mtu kama Lil Nax na Video yake eti anashinda Tuzo?
Tunaangalia idea ya video bro...Afu kumuhukumu kama na wewe huna dhambi bana
 
Back
Top Bottom