Washikaji jalini wake zenu

Washikaji jalini wake zenu

dyuteromaikota

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
5,936
Reaction score
8,345
Mtoto wa watu umemtanguliza kiwanja hujampa hata hela ya kuanzia akifika mhudumu anamfata kumsikiliza lakini mama wa watu hana cha kuagiza mpaka akusubili! Masikini ya Mungu mtoto wa watu anakupenda, mpete huo kidoleni. Nasi wazee wa dead balls tunaogopa pete japo tungemnunulia chochote.

Ni ushauri tu wadau msijenge chuki.
 
mimi mke wangu tulipotoka kanisani nikmwambia mimi nalivua pete nae akalivua kaisha kula sana ofa za wtu alafu kidume najitokeza inaangalia chini.
 
mimi mke wangu tulipotoka kanisani nikmwambia mimi nalivua pete nae akalivua kaisha kula sana ofa za wtu alafu kidume najitokeza inaangalia chini.
hahahahaaaa kuna siku utacherewa mkuu utakuta manyoya.
 
Back
Top Bottom