Washawasha la Uganda

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
12592450_10204350581844999_5688237540270462839_n.jpg
 
Mimi nikitafakari hivi vitu ndo naamini waafrika tumelaaniwa, sisi kwa sisi hatupendani harafu tukibaguliwa ulaya tunaanza kulalamika.
 
Kwanini hiz washa washa hununuliwa kipindi cha uchaguzi tu?
 
nchi za kiafrika zinafanana bongo lala za viongoz,..
hospital watu wanazalia chini mtu linaenda kununua washawasha
hii ni kutojiamini kwa viongoz kwasababu ya wizi wa mali za wananchi husika
mtu anasema akipita flani jp mindontalala usingizi hii ni kwasababu ya uwizi wa mafisiem maizi kwelikweli
 
Mimi nikitafakari hivi vitu ndo naamini waafrika tumelaaniwa, sisi kwa sisi hatupendani harafu tukibaguliwa ulaya tunaanza kulalamika.
Inatakiwa tuache kulalamika pindi wazungu wanapotubagua Kwa maana sisi wenyewe ni namba 1 Kwa ubaguzi,tena ubaguzi wa wazungu unanafuu wa kwetu ni wa kuumizana na kuuana
 
Back
Top Bottom