Washauri wa Lissu wanampoteza kisiasa

Benmpo

JF-Expert Member
Mar 23, 2015
450
500
Ikumbukwe kuwa TAL alishambuliwa kwa risasi na watu wasijulikana takribani mwaka mmoja na nusu uliopita. Tangu aliposhambuliwa, yaani 07/09/2017 hadi hivi sasa TAL hayupo nchini kwani alipelekwa Kenya na baadaye Ubelgiji kwa matibabu.

Watanzania tumekuwa tukimuombea baraka kwa Mwenyezi Mungu apone haraka ili aweze kuendeleza gurudumu la maendeleo hasa kwa wapiga kura wake wa Jimbo la Singida Mashariki. Tumekuwa tukimsubiri kwa hamu sana katika hilo.

Ni wazi kuwa ukimya wake kwa muda huo, haukumfanya apotee kisiasa licha ya kukaa nje ya nchi. Na kauli za msimu alizozitoa zilisambaa kwa kasi na kuwa na impact kwa kiasi kikubwa katika kumfanya aendelee kuwa akilini mwa watu.

Wanaomshauri TAL kufanya ziara katika nchi za Ulaya na Amerika wanamuingiza “Chaka” kisiasa. Ziara hizo amezigeuza kuwa za kisiasa, na hivyo watu wameshazizoea na sasa ufuatiliaji umekuwa mdogo sana, in other words wameanza kumpotezea. Hii ina maana kwamba hata siku akirudi nchini hatakuwa na jipya la kuwafanya Watanzania wavutwe na kile anachokiongea. Kuna baadhi ya watu ambao hutoa kura za huruma na hasa kutokana na hali yake, kwa yeye kuwa masikioni mwa watu kila siku kunamfanya azoeleke na hivyo baadaye ataonekana wa kawaida tu na hivyo kuzikosa kura hizo.

Moja kati ya kauli za mwanzo kabisa alizozitoa TAL (source: Social media) baada ya kupata fahamu ilikuwa ni; “Mwenyekiti, I survived to tell a tale, Please keep up fighting". Watanzania tumekuwa tukisubiri kwa hamu arudi na kutumbia, ni nini alichotaka kutuambia, lakini baadaye tumejua kwamba, he planned to tell us that he will run for president in the 2020 elections.

Anayoyasema angekuja kuyasemea nyumbani pindi atakaporudi, yangemsaidia kumpa political mileage, ila kwa sasa asipokuwa makini ndio kupotea huko. Kwake naweza kusema kuwa amekuwa na “Bad Timing” ya kutangaza alichotangaza.
 
Benmpo

JF-Expert Member
Mar 23, 2015
450
500
Hapa asingeruhusiwa kufanya mikutano, angekamatwa kwa kumkashifu Jiwe. Vyombo vya vingetishwa visiandike kuhusu TAL isipokuwa kumpaka matope tu. Mabaya aliyotendewa yangejulikanaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hadi sasa hakuna asiyejua kuwa alishambuliwa na watu wasiojulikana? Angalia sasa baada ya BBC HardTalk amekuwa si story tena kwa yale anayoyasema na wapi anayasemea.
 
masonya

JF-Expert Member
Mar 12, 2015
373
250
Hilo jimbo chukueni lotelote kama mlivyopora mengine ,mlishinda baada ya kuwaweka ndani mawakala wa upinzani.
TAL amepanda sdaraja sana ni matumizi mabaya ya rasilimali watu kwa yeye kuendelea kugombea ubunge

Kwani wapi pameongelewa yeye kunyang'anywa Jimbo? Kitakachomnyang'anya ni sheria tu na si kingine
 
TIBIM

JF-Expert Member
Dec 1, 2017
8,026
2,000
Ikumbukwe kuwa TAL alishambuliwa kwa risasi na watu wasijulikana takribani mwaka mmoja na nusu uliopita. Tangu aliposhambuliwa, yaani 07/09/2017 hadi hivi sasa TAL hayupo nchini kwani alipelekwa Kenya na baadaye Ubelgiji kwa matibabu.

Watanzania tumekuwa tukimuombea baraka kwa Mwenyezi Mungu apone haraka ili aweze kuendeleza gurudumu la maendeleo hasa kwa wapiga kura wake wa Jimbo la Singida Mashariki. Tumekuwa tukimsubiri kwa hamu sana katika hilo.

Ni wazi kuwa ukimya wake kwa muda huo, haukumfanya apotee kisiasa licha ya kukaa nje ya nchi. Na kauli za msimu alizozitoa zilisambaa kwa kasi na kuwa na impact kwa kiasi kikubwa katika kumfanya aendelee kuwa akilini mwa watu.

Wanaomshauri TAL kufanya ziara katika nchi za Ulaya na Amerika wanamuingiza “Chaka” kisiasa. Ziara hizo amezigeuza kuwa za kisiasa, na hivyo watu wameshazizoea na sasa ufuatiliaji umekuwa mdogo sana, in other words wameanza kumpotezea. Hii ina maana kwamba hata siku akirudi nchini hatakuwa na jipya la kuwafanya Watanzania wavutwe na kile anachokiongea. Kuna baadhi ya watu ambao hutoa kura za huruma na hasa kutokana na hali yake, kwa yeye kuwa masikioni mwa watu kila siku kunamfanya azoeleke na hivyo baadaye ataonekana wa kawaida tu na hivyo kuzikosa kura hizo.

Moja kati ya kauli za mwanzo kabisa alizozitoa TAL (source: Social media) baada ya kupata fahamu ilikuwa ni; “Mwenyekiti, I survived to tell a tale, Please keep up fighting". Watanzania tumekuwa tukisubiri kwa hamu arudi na kutumbia, ni nini alichotaka kutuambia, lakini baadaye tumejua kwamba, he planned to tell us that he will run for president in the 2020 elections.

Anayoyasema angekuja kuyasemea nyumbani pindi atakaporudi, yangemsaidia kumpa political mileage, ila kwa sasa asipokuwa makini ndio kupotea huko. Kwake naweza kusema kuwa amekuwa na “Bad Timing” ya kutangaza alichotangaza.
Elewa yye ajaenda Fanya kampeni huko
Kaenda kuishukuru dunia kumponya kumbuka kachangiwa na dunia matibabu yake na pia kuieleza dunia yaliyomsibu na yaliyomsibu yamesababishwa na utawala uliopo.
 
Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
6,741
2,000
Wanaomshauri TAL kufanya ziara katika nchi za Ulaya na Amerika wanamuingiza “Chaka” kisiasa. Ziara hizo amezigeuza kuwa za kisiasa, na hivyo watu wameshazizoea na sasa ufuatiliaji umekuwa mdogo sana, in other words wameanza kumpotezea.
Naona mimi sijui kiswahili-yaani mtu mnampotezea ndio kila siku mna muanzishia MANYUZI? TL ni mwanasiasa nashangaa unaposhangaa kuwa safari zake amezigeuza za kisiasa. Kumbuka hata zile risasi ni za KISIASA.
 
DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
23,921
2,000
Ikumbukwe kuwa TAL alishambuliwa kwa risasi na watu wasijulikana takribani mwaka mmoja na nusu uliopita. Tangu aliposhambuliwa, yaani 07/09/2017 hadi hivi sasa TAL hayupo nchini kwani alipelekwa Kenya na baadaye Ubelgiji kwa matibabu.

Watanzania tumekuwa tukimuombea baraka kwa Mwenyezi Mungu apone haraka ili aweze kuendeleza gurudumu la maendeleo hasa kwa wapiga kura wake wa Jimbo la Singida Mashariki. Tumekuwa tukimsubiri kwa hamu sana katika hilo.

Ni wazi kuwa ukimya wake kwa muda huo, haukumfanya apotee kisiasa licha ya kukaa nje ya nchi. Na kauli za msimu alizozitoa zilisambaa kwa kasi na kuwa na impact kwa kiasi kikubwa katika kumfanya aendelee kuwa akilini mwa watu.

Wanaomshauri TAL kufanya ziara katika nchi za Ulaya na Amerika wanamuingiza “Chaka” kisiasa. Ziara hizo amezigeuza kuwa za kisiasa, na hivyo watu wameshazizoea na sasa ufuatiliaji umekuwa mdogo sana, in other words wameanza kumpotezea. Hii ina maana kwamba hata siku akirudi nchini hatakuwa na jipya la kuwafanya Watanzania wavutwe na kile anachokiongea. Kuna baadhi ya watu ambao hutoa kura za huruma na hasa kutokana na hali yake, kwa yeye kuwa masikioni mwa watu kila siku kunamfanya azoeleke na hivyo baadaye ataonekana wa kawaida tu na hivyo kuzikosa kura hizo.

Moja kati ya kauli za mwanzo kabisa alizozitoa TAL (source: Social media) baada ya kupata fahamu ilikuwa ni; “Mwenyekiti, I survived to tell a tale, Please keep up fighting". Watanzania tumekuwa tukisubiri kwa hamu arudi na kutumbia, ni nini alichotaka kutuambia, lakini baadaye tumejua kwamba, he planned to tell us that he will run for president in the 2020 elections.

Anayoyasema angekuja kuyasemea nyumbani pindi atakaporudi, yangemsaidia kumpa political mileage, ila kwa sasa asipokuwa makini ndio kupotea huko. Kwake naweza kusema kuwa amekuwa na “Bad Timing” ya kutangaza alichotangaza.
Jee umefikiria usalama wake kama angerudi? Na unafikiri angeyasemea wapi haya katika ardhi ya Tanganyika? Wacha aseme yote ili duniani ijue hata kama haitamsaidia kisiasa kwani yeye hataishi kwa siasa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Benmpo

JF-Expert Member
Mar 23, 2015
450
500
Elewa yye ajaenda Fanya kampeni huko
Kaenda kuishukuru dunia kumponya kumbuka kachangiwa na dunia matibabu yake na pia kuieleza dunia yaliyomsibu na yaliyomsibu yamesababishwa na utawala uliopo.
Sisi nasi tulimchangia bro, na kama ni kuokoa maisha yake basi sisi ndo tuli-play a very vital role. "Charity Begins at Home" kama ni kushukuru angekuja kutushukuru nyumbani kwanza, maana hao wengine walimwona wakati hali yake ilishakuwa stable.
 
ostrichegg

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
9,325
2,000
Kwani hadi sasa hakuna asiyejua kuwa alishambuliwa na watu wasiojulikana? Angalia sasa baada ya BBC HardTalk amekuwa si story tena kwa yale anayoyasema na wapi anayasemea.
Hivi mikutano yake ingezuiliwa akiwa huku HUO ujumbe wake ndio ungefikaje.
Mbona wataka kujifanya hujui jinsi mikutano ya nje na ndani inavyozuiliwa kinyume kabisa na katiba na sheria na watu kama wewe mnavyonyamazia.
Najua yapo mengi ambayo hamkutaka wayasikie watz, SASA wameyasikia kutoka BBC, CNN, Deustchvelle, VOA straight talkAfrica akiwapo na Balozi Masilingi ndani ya jopo.

Kama hufurahii kuwekwa hadharani MAOVU yafanyikayo ndani ya nchi hii, kwa watu kujifanya eti wananyoosha nchi, pole sana, Lakini kwa mazingira ya ukandamizaji yaliyopo nchini kwetu, njia hii ndio inafaa. AMEN.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
23,921
2,000
Sisi nasi tulimchangia bro, na kama ni kuokoa maisha yake basi sisi ndo tuli-play a very vital role. "Charity Begins at Home" kama ni kushukuru angekuja kutushukuru nyumbani kwanza, maana hao wengine walimwona wakati hali yake ilishakuwa stable.
Tunajua nia yenu ya kumtaka arudi ili mumpige bomu kabisa kwani kwa risasi mushindwa,wauaji wakubwa nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
8,945
2,000
Ikumbukwe kuwa TAL alishambuliwa kwa risasi na watu wasijulikana takribani mwaka mmoja na nusu uliopita. Tangu aliposhambuliwa, yaani 07/09/2017 hadi hivi sasa TAL hayupo nchini kwani alipelekwa Kenya na baadaye Ubelgiji kwa matibabu.

Watanzania tumekuwa tukimuombea baraka kwa Mwenyezi Mungu apone haraka ili aweze kuendeleza gurudumu la maendeleo hasa kwa wapiga kura wake wa Jimbo la Singida Mashariki. Tumekuwa tukimsubiri kwa hamu sana katika hilo.

Ni wazi kuwa ukimya wake kwa muda huo, haukumfanya apotee kisiasa licha ya kukaa nje ya nchi. Na kauli za msimu alizozitoa zilisambaa kwa kasi na kuwa na impact kwa kiasi kikubwa katika kumfanya aendelee kuwa akilini mwa watu.

Wanaomshauri TAL kufanya ziara katika nchi za Ulaya na Amerika wanamuingiza “Chaka” kisiasa. Ziara hizo amezigeuza kuwa za kisiasa, na hivyo watu wameshazizoea na sasa ufuatiliaji umekuwa mdogo sana, in other words wameanza kumpotezea. Hii ina maana kwamba hata siku akirudi nchini hatakuwa na jipya la kuwafanya Watanzania wavutwe na kile anachokiongea. Kuna baadhi ya watu ambao hutoa kura za huruma na hasa kutokana na hali yake, kwa yeye kuwa masikioni mwa watu kila siku kunamfanya azoeleke na hivyo baadaye ataonekana wa kawaida tu na hivyo kuzikosa kura hizo.

Moja kati ya kauli za mwanzo kabisa alizozitoa TAL (source: Social media) baada ya kupata fahamu ilikuwa ni; “Mwenyekiti, I survived to tell a tale, Please keep up fighting". Watanzania tumekuwa tukisubiri kwa hamu arudi na kutumbia, ni nini alichotaka kutuambia, lakini baadaye tumejua kwamba, he planned to tell us that he will run for president in the 2020 elections.

Anayoyasema angekuja kuyasemea nyumbani pindi atakaporudi, yangemsaidia kumpa political mileage, ila kwa sasa asipokuwa makini ndio kupotea huko. Kwake naweza kusema kuwa amekuwa na “Bad Timing” ya kutangaza alichotangaza.
Kwa akili yako finyu wapi hapo Tanzania Lissu angeyaongea haya bila kukamatwa au kusumbuliwa na vyombo cha dola? Udikteta.
Semea huko huko Lissu..
Tulia dawa iwaingie.
 
Benmpo

JF-Expert Member
Mar 23, 2015
450
500
Kwa akili yako finyu wapi hapo Tanzania Lissu angeyaongea haya bila kukamatwa au kusumbuliwa na vyombo cha dola? Udikteta.
Semea huko huko Lissu..
Tulia dawa iwaingie.
Unataka kusema akirudi hapa atakuwa mnafiki? Je, Watanzania waliomchangia anawaambia kupitia BBC HardTalk?
 
lingamba lidodi

JF-Expert Member
Nov 15, 2018
965
1,000
Ikumbukwe kuwa TAL alishambuliwa kwa risasi na watu wasijulikana takribani mwaka mmoja na nusu uliopita. Tangu aliposhambuliwa, yaani 07/09/2017 hadi hivi sasa TAL hayupo nchini kwani alipelekwa Kenya na baadaye Ubelgiji kwa matibabu.

Watanzania tumekuwa tukimuombea baraka kwa Mwenyezi Mungu apone haraka ili aweze kuendeleza gurudumu la maendeleo hasa kwa wapiga kura wake wa Jimbo la Singida Mashariki. Tumekuwa tukimsubiri kwa hamu sana katika hilo.

Ni wazi kuwa ukimya wake kwa muda huo, haukumfanya apotee kisiasa licha ya kukaa nje ya nchi. Na kauli za msimu alizozitoa zilisambaa kwa kasi na kuwa na impact kwa kiasi kikubwa katika kumfanya aendelee kuwa akilini mwa watu.

Wanaomshauri TAL kufanya ziara katika nchi za Ulaya na Amerika wanamuingiza “Chaka” kisiasa. Ziara hizo amezigeuza kuwa za kisiasa, na hivyo watu wameshazizoea na sasa ufuatiliaji umekuwa mdogo sana, in other words wameanza kumpotezea. Hii ina maana kwamba hata siku akirudi nchini hatakuwa na jipya la kuwafanya Watanzania wavutwe na kile anachokiongea. Kuna baadhi ya watu ambao hutoa kura za huruma na hasa kutokana na hali yake, kwa yeye kuwa masikioni mwa watu kila siku kunamfanya azoeleke na hivyo baadaye ataonekana wa kawaida tu na hivyo kuzikosa kura hizo.

Moja kati ya kauli za mwanzo kabisa alizozitoa TAL (source: Social media) baada ya kupata fahamu ilikuwa ni; “Mwenyekiti, I survived to tell a tale, Please keep up fighting". Watanzania tumekuwa tukisubiri kwa hamu arudi na kutumbia, ni nini alichotaka kutuambia, lakini baadaye tumejua kwamba, he planned to tell us that he will run for president in the 2020 elections.

Anayoyasema angekuja kuyasemea nyumbani pindi atakaporudi, yangemsaidia kumpa political mileage, ila kwa sasa asipokuwa makini ndio kupotea huko. Kwake naweza kusema kuwa amekuwa na “Bad Timing” ya kutangaza alichotangaza.
Plan yake ni ya long run, alijua kuwa pasipo kufanya hivyo,angerudi angekufa haraka sana. Kwakuwa Jumuia ya kimataifa inafahamu yanayoendelea Tz, anajiwekea ulinzi ktk Jumuia hiyo. Mkimgusa tu ICC haoooooooooooo! Labda mumpulizie sumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Benmpo

JF-Expert Member
Mar 23, 2015
450
500
Plan yake ni ya long run, alijua kuwa pasipo kufanya hivyo,angerudi angekufa haraka sana. Kwakuwa Jumuia ya kimataifa inafahamu yanayoendelea Tz, anajiwekea ulinzi ktk Jumuia hiyo. Mkimgusa tu ICC haoooooooooooo! Labda mumpulizie sumu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona anasema ana ushahidi, kwa nini asiupeleke haraka panapohusika? Mbona matokeo ya uchaguzi walisema wanayapeleka ICC?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom