Washauri wa JM Kikwete

Wapiga RAMLI ndio washauri wake wakubwa; kila wiki wapo nyumbani kwake Msoga!!!
 
Riz1 huyu ni mwanae anaangukia katika kundi la wasio rasmi; Januari Maakmba yeye ni rasmi? katika nini....please tuwe serious tuelimishane.
Yaani huyo Riz ndio mkuu wa washauri wa Rais huyo akisema limekubalika kalagha bao na ubishi wako.
 
Thread nzuri sana ila kwa ada ya hapa itageuka kuwa ya Ccm Vs Cdm!!!!!
Ni maswali ya msingi sana kujiuliza haya maana yanabeba mustakabali wetu na nchi kwa ujumla wake!!!!

Tujadili Taasisi ya Urais na washauri wake tusiliangalie kwa mtazamo wa mwenyekiti wa chama!!!
Unaweza kuta analaumiwa sana rais kumbe kuna watu inabidi wapigwe pressure ili hoja zifike juu!!!!

Anayemshauri juu ya usalama wa raia jamani,huyu ndio tumbebeshe msalaba wa majambazi kabla hatujaisha!!!!
 
Mtu akizidiwa na muwasho ndio anaanza kupoteza fahamu hivi? Hebu jaribu kumuona daktari plz

ha ha ha...we unachotaka kusikia ni nini?? huyu ndo mshauri ninayemjua..kama una majibu yako yaweke hapa. Si kukurupuka ka WASIRA kashtuka usingizini bungeni......
 
Washauri wakuu ni Mzee Makamba, mh. Lukuvi na Steven Wasira unategemea nini katka maendeleo ya taifa??
 
Baba yako ndio mwenyekiti wa hao wapiga ramli ndio aliyekupa hiyo ratiba?

Wewe mburula unajua kuwa kila weekend wewe na ukoo wenu mnakutana kule Msoga na wapiga Ramli wenu na ndio maana unahamaki kwani siri imevuja!!!
 
Mi nadhani anashauriwa vizuri, labda matatizo yapo kwenye utekelezaji.
Mfano hii ya BIG RESULTS NOW! utekelezaji wake tumeuona ulianza na Mwangosi, Kibanda...........,then Ponda!though haukutekelezwa ipasavyo.
 
No! Mi nadhani JK anashaurika, ila washauri ni watu wasiomakini. Waliosomea nje ya nchi na kupewa kazi za ku-copy na ku-paste!

Kwa vyo vyote vile JK hawezi kukwepa lawama!

Yeye mwenyewe ndiye anayeidhinisha hao washauri, na kama akiona hawamsaidii ana uhuru wa kuwabadilisha.

Kama anashindwa kuwabadili ni kosa la nani?!
 
Ndio anayekushauri kupora wake za watu na ww unatekeleza bila kushirikisha ubongo wako??

Mbona anashinda ikulu kupiga picha na akina Ray c,Uwoya nk hao ndio washauri wake?kuna agenda gani ya siri? kweli kwa kikwete tulingia chaka.
Tetea hoja,naona unawaza ngo.no tu mpuuzi wewe,hasa ngo.no inakujaje hapa
 
Wewe mshauri awe Wassira unategemea nini?
Matokeo yake ndio,kung'oa watu kucha na meno,kutesa,kubambikiza kesi,kupiga watu risasi mchana kweupe.
Au mwigulu atamshauri nini Jk zaidi ya kuua kwa kurusha mabomu na ugaidi....hapa unategemea maendeleo.
 
Back
Top Bottom