Washabiki wa Man U....Eti ni Kweli???

Washabiki wa Man U....Eti ni Kweli???

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
CHELSEA-NA-MAN-U.png
.........
 
Hapo kweli, yule howard web huwa ni Fergie amevaa kinyago
 
ni kweli when it comes to be favored man u have to say that!
 
Ndo maana soka la England litakua likiishia ''knock out stages' au robofainali.
Haina tofauti na mambo yanayofanyika hapa kwetu U simba na yanga. In our own dreams ndo tutakua tukishinda major tournaments as a nationala team. Vilabu pia vina-infuence national team,,,,sigh
 
BUT also we are the richest football club in the world (is it because of refereees)...........what else can we help you.
 
Huna lolote wewe! Ni Club ya nchi gani inayoshikila Kombe la UEFA kwa sasa, Toks 2007 timu za Uingereza zimetinga fainali ya UEFA mara 4 na kuchukua Kombe mara2. Marefa huwa wanafanya makosa, ni kawaida tu
 
tehee, limekuuma hilo huh, jamaa kawauliza tu kasema hivi let me help him (mashabik wa manutd et ni kweli?) , et kwan anaonaje, refa aliwabeba kwan uwongo? kwan we ulionaje, mnaniudhigi nyie mnojifanya hamuoni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom