Wasauzi wajitoa kwenye machimbo ya Tanzanite Wauza Hisa Zao

Lifer

Member
Jan 28, 2007
36
27
Wameuza hisa zao kwa kampuni iitwayo "Sky Group Associates Ltd"

Msauzi asema serekali ya Tanzania imeshindwa kuhakikisha usalama wa mgodi wao (block c) na pia sheria mpya ya madini haina tija kwao

Stamico wabaki kwenye mataa na asilimia 50% yao

Swali la msingi hapa ni je hii kampuni iliyonunua hisa za wasauzi 'Sky Group Associates Ltd' ni akina nani?

Je wanaona faida pale wasauzi walipoona hasara?

Kuna harufu ya wasauzi kufanyiwa hila hadi wakaamua kuuza hisa zao.

Yawezekana aliyewafanyia hila ndio mnunuzi wa hisa zao
Richland confirms signing agreement, escrow payment for Tanzania assets

5th December 2014 BY: NATASHA ODENDAAL
JOHANNESBURG (miningweekly.com) – Richland Resources on Friday announced the receipt of the signing consideration and the payment of an escrow amount as the $5.1-million sale of its tanzanite mining and beneficiation business and tsavorite licence interests in Tanzania to Sky Associates Group progressed.

The Aim-listed group received a $510 000 signing consideration – 10% of the initial consideration – from Sky, while a further $510 000 went into an escrow held by the company's solicitors payable on satisfaction of the various conditions in the sale agreement.

The sale remained subject to approval by shareholders, the Minister of Energy and Minerals of the Republic of Tanzania and the South African Reserve Bank.

http://m.miningweekly.com/article/r...nzania-assets-2014-12-05#.VIdwvG3-a34.twitter
 
Kwa nini una penda Ku "assume" vitu?
Una uhakika gani walifanyiwa hila mbaya ?
Na je mnunuzi mpya we unamfahamu.

Kwanza hii habari chazo chake ni wapi?
 
wacha waende hata wakiacha madini yetu hayaozi.!!

huu ujinga wa kubembeleza wezi wa rasilimali zetu tumechoka. kwanza hatuoni faida ya hao wazungu.
ni bora wachimbe machalii wapate hela wajenge nyumba bora.
hao makaburu kodi hatupati,hati miliki sio yetu, na wananchi wamekuwa maskini
!!!
 
Wameuza hisa zao kwa kampuni iitwayo "Sky Group Associates Ltd"

Msauzi asema serekali ya Tanzania imeshindwa kuhakikisha usalama wa mgodi wao (block c) na pia sheria mpya ya madini haina tija kwao

Stamico wabaki kwenye mataa na asilimia 50% yao

Swali la msingi hapa ni je hii kampuni iliyonunua hisa za wasauzi 'Sky Group Associates Ltd' ni akina nani?

Je wanaona faida pale wasauzi walipoona hasara?

Kuna harufu ya wasauzi kufanyiwa hila hadi wakaamua kuuza hisa zao.

Yawezekana aliyewafanyia hila ndio mnunuzi wa hisa zao

Richland confirms signing agreement, escrow payment for Tanzania assets

Mkuu Lifer, swala la msingi ni je, uuzaji wa hizo hisa ulizingatia sheria na mkataba wao na stamico? Na kama ndio, je. kodi husika zimelipwa kwa usahihi?
 
hizi zote zingekuwa habari nzuri kama viongozi wetu wangekuwa wazalendo.......acha wayabebe tu coz hatujielewi
 
Hussein Gonga a.k.a Riz1 Kikwetee ndiyo wanunuzi wa hisa za wazungu. Walami wamebaki na % ndogo sana ya hisa wakifocus kwenye chaguzi za Africa zilivyo na matokeo yake wanakaa kimtego.
Acha muuwane wenyewe kikinuka wao hawapo walishachota za ukweli
 
HUSEIN GONGA NDIO MNUNUZI WA HIZO HISA, kazi wa takukuru, TRA, ofisi za mkaguzi mkuu wa serikali, je wamefuata sheria? kodi zimelipwa? maana Hussein ni kada maarufu wa chama cha Mafisadi na alitumia pesa ndefu sana kumkampenia Batilda kwenye kinyang'anyiro cha ubunge 2010 lakini watu walikula hela kura akapewa Lema. CCM ina wezi tu Hussein ni mshika dau tu ila nyuma yake yasemekana yuko Mbunge wa CHALINZE.Ndio jamaa mwenye lile gorofa pale karibia na stendi lenye Amana benki.
 
TANZANIA
EXPLORATION & PRODUCTION
n°335 - 23/12/2014
Richland brings Sky Associates into tanzanite deal
After several weeks of bargaining, Richland Resources Ltd has reached an agreement to sell its firm TanzaniteOne Ltd to Sky Associates Group Ltd. London-registered Richland had been the lone industrial-scale producer of the precious blue tanzanite gem up to now.

Sky, which laid out $5 million for the stake, is controlled by two businessmen based in Arusha, Faisal Shahbhat and Hussein Gonga. Gonga already owns three other mining companies, namely Capricorn Minerals, Prime Gemstones (T) Ltd and Hugo Gems.

Shahbhat is the founder of Maruti Green Gems and Tanzanite Forever Ltd.

Under the contract, which doesn’t involve marketing the gems - this is done by a firm named Tanzanite Experience that remains controlled by Richland - Sky will take on over $10 million in TanzaniteOne’s debt.

When the transaction is completed, Sky will become a partner of the state-owned mining concern STAMICO in working the tanzanite mine at Mererani. Indeed, Richland formed an equal-share joint venture with STAMICO in December, 2013 for a licence numbered 490/2013.

The sale of the stake underscored the relative failure of the government’s indigenisation policy in the mining industry. In 2012, hundreds of small-scale miners began occupying the underground, block C section of the Mererani mine and have never been totally expelled by the local police, obliging TanzaniteOne to sharply cut back its mining operations.

The small-scale miners have licenses but most of the 600 working on Mererani don’t report how much they produce and thus fail to pay taxes or royalties to the government. In addition, most of the tanzanites are smuggled out to Jaipur in India, where they are cut. Jaipur, India’s gem capital, earned $82 million in exports of tanzanites in 2012 whereas Tanzania itself makes only $20 million per annum from its tanzanite exports.

© Indigo Publications.
 
Taarifa rasmi ya Serikali ya JMT kuhusu swala husika.
 
Attachments

  • 09.02.15-TAARIFA-KWA-UMMA-STAMICO.pdf
    311 KB · Views: 164
Wameuza hisa zao kwa kampuni iitwayo "Sky Group Associates Ltd"

Msauzi asema serekali ya Tanzania imeshindwa kuhakikisha usalama wa mgodi wao (block c) na pia sheria mpya ya madini haina tija kwao

Stamico wabaki kwenye mataa na asilimia 50% yao

Swali la msingi hapa ni je hii kampuni iliyonunua hisa za wasauzi 'Sky Group Associates Ltd' ni akina nani?

Je wanaona faida pale wasauzi walipoona hasara?

Kuna harufu ya wasauzi kufanyiwa hila hadi wakaamua kuuza hisa zao.

Yawezekana aliyewafanyia hila ndio mnunuzi wa hisa zao

http://m.miningweekly.com/article/r...nzania-assets-2014-12-05#.VIdwvG3-a34.twitter

Wabongo bana MTU anaamka asubuhi na gongo za Jana anaanza kuandika mambo hata akiulizwa hana hoja. Fuatilia habar acha ukuda
 
HUSEIN GONGA NDIO MNUNUZI WA HIZO HISA, kazi wa takukuru, TRA, ofisi za mkaguzi mkuu wa serikali, je wamefuata sheria? kodi zimelipwa? maana Hussein ni kada maarufu wa chama cha Mafisadi na alitumia pesa ndefu sana kumkampenia Batilda kwenye kinyang'anyiro cha ubunge 2010 lakini watu walikula hela kura akapewa Lema. CCM ina wezi tu Hussein ni mshika dau tu ila nyuma yake yasemekana yuko Mbunge wa CHALINZE.Ndio jamaa mwenye lile gorofa pale karibia na stendi lenye Amana benki.

Kawaida ya wabongo ni majungu na fitna
 
Hivi hii kampuni si ndio imenunuliwa nayule mfanyabiashara wa madini Arusha pamoja nayule mtoto wa kigogo?
 
Tuwache uzushi hussein gonga mali yake haiusiani na riziwani kikwete yupo kwenye madini miaka mingi sana hata kwa hela amemzidi huyu riziwani kwa mbali sana.
 
Ohh wabongo tuna majungu ohh acha ukuda, ohh sina hoja. Mbona kimenuka sasa??....Simbachawene kaachia ngazi kwa ajili ya hili la Tanzanite One. Back then nilisema swali la msingi ni "Sky Associates ni akina nani?" Nikapigwa vijembe... Ni kina nani hawa walioweza kumsukuma Simbachawene aka approve hii transaction on his firstday in office kama Waziri wa Madini na nishati bila kufanya due diligence?
 
Back
Top Bottom