Wasanii wetu

Deghe Mangae

Senior Member
Mar 3, 2020
171
149
Kuna baadhi ya wasanii ukisikiliza yimbo zao utagundua hazina maadili ya kumjenga mtu. Wakati mwingine nadiriki kusema wakafanyiwe uchunguzi wa akili; sio wazima. Tunataka nyimbo zenye mafundisho ndani ya jamii na
Hawa BASATA ifike pahala waingilie kati.

Tumechoka na nyimbo zisizo na maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona haujawataja...??
Ama hili nalo linahitaji kujadiliwa kwa codes??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe usizisikilize maana hazina maadili kwako sio kwa watu wote wapo wanaozipenda huwezi kusema nyimbo zifungiwe kisa hazikufurahishi
Kuna baadhi ya wasanii ukisikiliza yimbo zao utagundua hazina maadili ya kumjenga mtu. Wakati mwingine nadiriki kusema wakafanyiwe uchunguzi wa akili; sio wazima. Tunataka nyimbo zenye mafundisho ndani ya jamii na
Hawa BASATA ifike pahala waingilie kati.

Tumechoka na nyimbo zisizo na maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mi naona ungeliwasilisha swala hili katika shirika linalohusika na maswala ayo duniani ,maana mi naona dunia nzima adi wasanii wakubwa wanaimba nyimbo zisizo kuwa na maana yoyote ,
 
Mzee wangu tatizo unasikiliza wasanii ila mimi nimeanza kusikiliza wanamuziki nimeacha hao wasanii waimbie wahuni wenzao.

Hebu achana na wasanii.
 
Back
Top Bottom