Wasanii wetu wa Bongo na maambukizi ya VVU

MKURABITA

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
317
126
Nimekuwa nikifuatilia wasanii wetu na hasa wa hiki kizazi kipya na nyimbo zao. Nyimbo zao nyingi zinahusu mapenzi. Nadhani zimekuwa kichocheo kikubwa katika maambukizi ya virusi vya ukimwi. Wanajamii wenzengu ninyi mnalionaje hili na pengine nini kifanyike ili kukinusuru kizazi hiki na maambukizi mapya ya VVU.
 
Ukimwi hauchagui mkuu. Unakumba ''kizazi hiki'' na wazee pia.

Ni kweli mkuu, wazee pia wanakutana nao, nimeangalia vijana kwa kuwa ndio wanaolengwa hasa na wasanii wetu, ila ni vizuri pia tukazungumzia hili kwa ujumla wake
 
Acha ukuda, wazee kibao wahuni na mfano mbaya kwa jamii, angalia wazee wangapi wa Tanzania wana watoto nje ya ndoa na mademu kibao nje, kumbukeni ukimwi ulivyo kua unapukutrisha wazee, mbaka walivyo anza kufuata dogodogo na kuwaambukiza?
 
Back
Top Bottom