MKURABITA
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 317
- 126
Nimekuwa nikifuatilia wasanii wetu na hasa wa hiki kizazi kipya na nyimbo zao. Nyimbo zao nyingi zinahusu mapenzi. Nadhani zimekuwa kichocheo kikubwa katika maambukizi ya virusi vya ukimwi. Wanajamii wenzengu ninyi mnalionaje hili na pengine nini kifanyike ili kukinusuru kizazi hiki na maambukizi mapya ya VVU.