BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,838
Hahaa hiyo nyimbo imenikumbusha mbali sanaSawa Kingwendu tumekuskia,hili goma lako lilibamba sana enzi unaanza mzikiView attachment 978225
Wakati naanza muziki kipindi sifahamiki, nilikutana na wasanii wanafiki wenye roho mbaya japo wana act marafiki.
Mungu ni mwema nilikuja kuonana na Mwana fa ambaye niliunganishwa na mmoja wa kaka angu wa mtaani aliyekuwa ananijua kuwa huwa naimba. Mwana fa alinisaidia sana kiukweli, japo nikichelewa kuja kufanya nae ngoma ila yeye ndio alinikutanisha na wadau wote wakubwa wa muziki. Mpaka nilipoonana na mzee kigogo "TID" ni Mwana Fa.
Mtu mwingine ambaye binafsi hakunisaidia lakini amesaidia wasanii wengi ni Dully Sykes pamoja na AY. Hao jamaa kama una uwezo hawatakuacha, watakupa hata connection.
Ila usijiroge uwatafute machalii wa R wakati hutokei ukanda huo, itakula kwako bro.
Ma underground msikate tamaa, ipo siku yako.
Huo ndo ushamba kupritend kuwa yeye ni flaniJamaa anataka tuamini yeye ni bill nass
Amekupoteza huyu wala sio msanii ni msaka like na commentBillnas billnas
Amna noma mwanangu Mimi nitakuchek pm unajua nini Mwana mshukuru sana tid maana alikugongea Bonge la chorus afu Mwana fa alifanya sitak mazoea ichangamke
Anataka kukamata ma slay queens wa jfππππAmekupoteza huyu wala sio msanii ni msaka like na comment
ππππHuo ndo ushamba kupritend kuwa yeye ni flani
hahahahahah!!!Ila usijiroge uwatafute machalii wa R wakati hutokei ukanda huo, itakula kwako bro
Huyu atakuwa Inspector Haroun ndiye ana kiherehere mseto cha aina hii.
aiseee kitambo sanaSawa Kingwendu tumekuskia,hili goma lako lilibamba sana enzi unaanza mzikiView attachment 978225