Nigga What
Senior Member
- May 1, 2021
- 164
- 448
Darassa
Sugu kwa lipi? Nikki mbishi kwa lipi?
Afande sele nae ni utopwenga tu.
Fid q na prof jay ndio mpango mzima
Yakwangu hii hapa:-
1.Prof J
2.Fid q
3.Mwana FA
4.AY
5.Mr. blue aka babylon bizzy
Nikki mbish with a guy rap is easy hahah jamaa anazngua sana siku hz
Sugu kwa lipi? Nikki mbishi kwa lipi?
Afande sele nae ni utopwenga tu.
Fid q na prof jay ndio mpango mzima
Yakwangu hii hapa:-
1.Prof J
2.Fid q
3.Mwana FA
4.AY
5.Mr. blue aka babylon bizzy
YANGU HII
1.P Jay
2.Fid Q
3.Mwana FA
4.Afande Sele
5.Jay Moe
Barnaba yupi anafanya hiphop we kiazi?Nawakubali hawa
1. Prof Jay
2. FA
3. AY
4. Barnaba
5. Darassa
Kiaz mwenyeweBarnaba yupi anafanya hiphop we kiazi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Barnaba yupi anafanya hiphop we kiazi?
Hivi kwani lazima wote tuwe wanamuziki
Mimi nadhani tumetosha wengine mmbaki washabiki
1) Fid Q
2)Afande Sele
3)Prof Jizzo
4)Jay Mo
5)Kiroboto.
Yaah hii ni ya moto sana 🔥🔥YANGU HII
1.P Jay
2.Fid Q
3.Mwana FA
4.Afande Sele
5.Jay Moe