Wasanii Watano (5) Bora Zaidi Kuwahi Kutokea Katika Bongofleva

Wasanii Watano (5) Bora Zaidi Kuwahi Kutokea Katika Bongofleva

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
11,452
Reaction score
10,034
Wanabodi,
Tangu kuanza kwa muziki wa kizazi kipya hapa Tanzania maarufu kama Bongo Fleva, kumekuwa na wasanii wengi ambao baadhi yao wamekuja wakatoa nyimbo kali wakapotea kwenye game na wengine wakadumu na kuendelea kutamba kwenye game.
Nimetaka wasanii watano ili tupate wakali watano zaidi hivyo jitahidi kuwachuja vizuri wengi ulionao ili tupate 5 bora ya uhakika.

Sasa ukiwa kama mdau wa muziki huo, ipi ni 5 bora yako ya wasanii bora wa wakati wote katika muziki huu.

Wasanii Wangu 5 bora wa wakati wote ni hawa;
1.Juma Nature
2.Prof Jay
3.Fid Q
4.Mwana Fa
5.Afande Sele
Haya karibu utupe maoni yako na wewe.
 
Albert mangwea,lady jay dee,prof jay,mwana fa,fid q
 
Salehe Jabiri...Saigoni...Nick Mbishi...One The Incredible...Mr Paul
 
Prof J
Jide
Juma Nature
Dully
FA

Special S/O kwa Diamond. Jamaa ameichukua game ilipokuwa to a new level. Sio shabiki ila namuheshimu sana

Dully nae anastahili pongezi amedumu sana kwenye game
 
Dully nae anastahili pongezi amedumu sana kwenye game

Na amechangia kwa namna moja ama nyingine kuwaleta wasanii wengi kwenye game pia. Binafsi sio shabiki wa jamaa wote niliowataja, ila wana mchango mkubwa mkubwa sana mpaka game ilipo leo.
 
Hapo mtu ambaye namuona kichwa pro. Jay mistari yake ukitaka kuielewa inabidi uwe uwezo frani wa kufikiri
 
1. Nature

2. Prof. Jay

3. Jide

4. MwanaFA

5. Dully
 
prof

dully

nature

j. deee

mi mmasai bana nasema mi mmasai bana.

wagosi wa kaya

daznunda( kaaaamandaaa eyooo)

bushfamil

wapo wengiiiiiiii ila hao watano wa mwanzo ni chibhokooo
 
1. MwanaFA
2. Lady J-dee
3. Juma Nature
4. Prof. Jay
5. Dully Sykes
(6). Balozi
 
Juma nature
dimond platnume
Fid q
Mwana fa
Bluu
 
Back
Top Bottom