Wasanii wangu 20 wa Muda wote TOP 20 of all time in Tanzania

Kuna jamaa anaitwa Pasha.. He's so good asee kwenye mashairi ya mahaba. Kuna Dogo mmoja anaitwa S Kide. Yule dogo with sincerely heart Nakubali anakipaji kikubwa cha kutunga mashairi kwa kufuata urali wa vina na mizani. Tatizo dogo kaweka Uhuni/Usela nnya na Bangi mbele..
Kama kuna mtu yupo karibu nae amshauri abadirike kwa kipaji kile sio wa kuimba upuuzi ule (Japo namsikiliza hvo hvo (
Mashairi ya Skide kuntu sana lazima ucheke tatizo mibange na mipombe inamuharibu
 
Kuna jamaa anaitwa Pasha.. He's so good asee kwenye mashairi ya mahaba. Kuna Dogo mmoja anaitwa S Kide. Yule dogo with sincerely heart Nakubali anakipaji kikubwa cha kutunga mashairi kwa kufuata urali wa vina na mizani. Tatizo dogo kaweka Uhuni/Usela nnya na Bangi mbele..
Kama kuna mtu yupo karibu nae amshauri abadirike kwa kipaji kile sio wa kuimba upuuzi ule (Japo namsikiliza hvo hvo (
S Kide Mtoto wa Mama Shamte...
 
Hivi unaanzaje kumkumbuka mtu kama Lord Eyes halafu ukawasahau Afande Sele, Solo Thang na Jay-Mo? You're not serious kabisa
Vigezo vyangu

A. Mashairi
B. Ujumbe
C. Heshima ndani ya Mashairi
D. kucheza na jukwaa
E. Muda wa Mziki wake kudumu

Hizo index mbele zimetokana na Calculator ambayo imeshusisha umri wa wasikilizaji, kukubalika, muda wake kudumu, Rate ya vyombo vya habari kumkuza mtu nje ya uhalisia.

1. Dr Remmy Ongalla ......6869.8
2. Juma Nature ....... 6586.2
3. Professor Jay. ......6578.02
4. Lady Jay dee......6576
5. Mzee Yusuph ..... ..6389
6. James Dandu....... 6286
7. Saida Karoli. .......6133
8. Fid Q .....6086
9. Mandojo na Domokaya .......5978
10. Albert Ngwair......... 5833
11. Ali Kiba..........5792
12. Mwana FA .......5581
13. Hard Mad ......5433
14. Diamond ........5380
15. Ray C............5332
16. Lord Eyes (Nako 2 Nako) .....3726
17. Ambwene Yesaya. ....3691
18. Banza Stone......3531
19. Christian Bella. .....3422
20. Ferooz..........3328
 
No.8,13,16 utatumia nguvu sana kunishawishi

List yako haina
Mbaraka Mwinshehe????????
Marijani Rajab??????
Haina Ngurumo????, nguza viking?
Haina Hemed manet?

Utalaaniwa na wazazi wako
 
Ushaniona wa kishua fulani siyo wakina S Kide na Msaga Sumu siwezi kuwajua?

Ukiniona ngoma ya kumtoa mwali Chanika nacheza ngoma kama mjomba, halafu ukaambiwa yule ndiye Kiranga, huwezi kuamini!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ah mi nakuona kishua sana plus ma-knowledge uko nayo naona ni ardhi na mbingu kujua hizi mambo. umewazidi baba zangu akina nshomile.
Tatizo mkuu Kiranga PM unakula buyu kupata ushauri kutoka kwako mambo kadhaa.
 
Nakwenda na mazingira. Ukinikuta Maneromango utashangaa.

PM niko poa, ila PM nyingi sana.

Nitakucheki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asa kama mashairi unamuachaje 20 per, asilimaire, twenti pasenti, alwatan 20%
Alipendwa kwa wakubwa na wadogo, kila kinu alichotoa ilikuwa mshiki mshike.
Huyu mwamba baada ya tuzo zake tano za kili akapotelea Moro mazima.
 
Sio Moro, alirudi kwao Kimanzichana.
 
Kuna jamaa anaitwa Pasha.. He's so good asee kwenye mashairi ya mahaba. Kuna Dogo mmoja anaitwa S Kide. Yule dogo with sincerely heart Nakubali anakipaji kikubwa cha kutunga mashairi kwa kufuata urali wa vina na mizani. Tatizo dogo kaweka Uhuni/Usela nnya na Bangi mbele..
Kama kuna mtu yupo karibu nae amshauri abadirike kwa kipaji kile sio wa kuimba upuuzi ule (Japo namsikiliza hvo hvo (
kaka bangi unaisingizia hapo mbona wengi tunavuta na hatuna mawenge ya uhuni, Ganja ni kama silaha inatumika kulinda na pia inatumika kuvamia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom