Wasanii wanafirisika kwa manunuzi ya kishamba kama Rolls Royce

Mzee baba wewe umewekeza wapi na returns zako zikoje per annum, au ndiyo debe tupu haliachi kuvuma.
Let him be, acha dogo afaidi matunda ya jasho lake.
Kubali ukweli uufanyie kazi ama unaukwepa.
Mana our brains unachukia Sana kuambiwa ukweli
 
Huwezi mfafananisha kanumba na diamond
Kwenye kutengeneza pesa hadi kuzimiliki
Binafsi mm syo mpenzi wa wasani bongo fleva
Lkn mondi ametengeneza pesa,ana shares sehemu flan flan
Ktk bongo hakuna msani kama yeye

Ova
Mkuu jamaa angekuwepo Hadi leo hakika angekua nitajiri Sana kwani alikua na malengo makubwa sana
 
Kubali ukweli uufanyie kazi ama unaukwepa.
Mana our brains unachukia Sana kuambiwa ukweli
Concentrate on improving your own miserable life, itakusaidia wewe na familia yako na si kuwa na kijicho kwa mtu anayezidi kupaa kimafanikio kila chwao na hana dalili za kutetereka kiuchumi leo wala kesho kwani ana timu imara ya managers.
 
Tafuta hela zitumie kelele za wanadamu achana nazo.

Mondi Ni msanii mkubwa halina ubishi Hilo na pesa anayo unaweza kuwa hukubaliani nae kwenye Mambo fualni fulani.

Na hiyo haikufanyi umpangie namna ya kutumia pesa yake,maana huijui kaipata vipi vipi.

Ni Jambo zuri kufanya Jambo la maendeleo apongezwe na Ni vizuri akiigwa .

Wasanii wale wa kale akili hazikuwepo walipata pesa wakavuta ganja ,pomba na kumbato mademu kitaa Sana tu .

Saivi wa juu ya mawe wanapiga miayo tu.

Ili diamond aje afulie it means YouTube Ife,apple Ife,boomplay Ife, social media zote zife maana hela anapatia huko kwa kiasi kikubwa na Ina mpa jeuri ya kuishi maana ana msuli mnene huko .

Kisha aanze kukimbiza na maredio yaani turudi enzi ujima Basi diamond atarudi tandale .

Bahati mbaya haiwezi tokea .

Ukishajua Hilo kilichobakia na wewe Ni kutafuta hela zako tu halafu mkutane huko juu muoneshane umwamba .

Otherwise utakuwa mpumbavu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom