Wasanii waliochukua fomu za Ubunge

Wasanii waliochukua fomu za Ubunge

MADAM R

Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
85
Reaction score
27
Wasanii wengi walijitokeza kutia nia ya kugombea nafasi mbalimbali za siasa ikiwemo Ubunge. Walikuwemo watu wa Bongo flava na Bongo Movie.

Je ni wangapi waliochukua fomu mpaka sasa?
1. STEVE NYERERE(ccm) - JIMBO LA KINONDONI
2.MZEE YUSUPH (ccm)- FUONI ZANZIBAR
3. Irene Uwoya (ccm)- Tabora

Naomba mtujuze wengine mnaofahamu.
 
Back
Top Bottom