Wasanii waliochukua fomu za Ubunge

Wasanii waliochukua fomu za Ubunge

Tupe GPA yake ya first degree yake kuthibitisha yeye nikipanga. Mmekaririsha kasa mnameza.

Au hujui maana ya GPA!!??

Me na ww nani hajui maana ya GPA???? Pitia Gpa ya mbowe uone km hata 1st degree anayo zaidi ya kuisikia kwenye media, ingia google search for prof;muhongo then come up with feedback, acha uvivu kama mtt wa kike.
 
Hivi unaijua CV ya professor muhongo??? Then compare to the rest uwajuao east afrika then lete mrejesho hapa.
Hivi ni professor wa nini huyo!??

Enzi zake wakali walikuwa wanasoma MEDICINE, ENGINEERING, AGRICULTURE nk, sasa yeye sijui wa wapi yuleee!

Alaf CV yake hamzidi JK au Mkumbo, labda usanii wa kuipamba tu.
 
Ni professor wa geology, yaani ww+wenzako mnakataliwa tu kwenye admission kuwa hamuwezi soma geology coz ni "vichwa maji" sasa muhongo ndo katoboa hiyo na kuwa #ranking number one in east afrika#
 
Me na ww nani hajui maana ya GPA???? Pitia Gpa ya mbowe uone km hata 1st degree anayo zaidi ya kuisikia kwenye media, ingia google search for prof;muhongo then come up with feedback, acha uvivu kama mtt wa kike.
Leta GPA acha usanii.
Au nawewe ni msanii nn, tangaza nia tu tukujue.
 
Sifa zote unazompa pamoja na CV yake kuwa nzuri kwakuwa yupo ccm basi anajishusha akili na hana tofauti na yule profesa mwenzie wamatunguli bwana majimarefu inapofika wakati wakusema ndiooooooooooo hivyo ni useless tu kama maccm mengine
 
Leta GPA acha usanii.
Au nawewe ni msanii nn, tangaza nia tu tukujue.

Gpa tafuta wewe coz nshakwambia msomi #1 east afrika then unataka gpa, mbona hujauliza results za 4m4 &4m6+masters????? Angepata gpa ya gentlemen(pass) angekuwa ranking #1 ?????
 
Mtihani mdogo umekushinda!!
 
Hivi unaijua CV ya professor muhongo??? Then compare to the rest uwajuao east afrika then lete mrejesho hapa.

acha ujinga wewe.
yule mzee anatudanganya sisi kama watoto wadogo!!&
sisi ni werevu kwenye maisha kumzidi pamoja na cv yake.
haina faida yoyote kwa jamii kama miaka yote aliyofundisha hatuna wataalamu wa kutafiti madini.
mpaka waganga wa kienyeji wanatuzidi kwa kutegemea wasomi wapuuzi kama yule
 
Isiwe ni Ukimbiliaji wa madaraka na kuonekana huku wakifanikisha ya kwao!

wajue Wanachokitaka sio kwaajili yao bali ni kwaajili ya wananchi.
 
Back
Top Bottom