Wasanii waliochukua fomu za Ubunge

Wasanii waliochukua fomu za Ubunge

sospeter muhongo ccm nayeye ni msanii tu jamani

Kwenye ukoo wenu wote hakuna mtu aliyesoma kama sospeter muhongo, ww mwenyewe ume-fail 4m4, umepata div5, utajifananisha na jembe #1 east afrika, EAST AFRIKA NZIMA HAKUNA MTU MWENYE CV WA KUMFIKIA SOSPETER MUHONGO
 
East Africa nzima ????? Hii umetoa wapi ???
 
Hivi unaijua CV ya professor muhongo??? Then compare to the rest uwajuao east afrika then lete mrejesho hapa.

Wewe sio mzima ??? Ndio CV yake naijua vizuri tu ,mbunge wa kuteuliwa ,na muongo Mkubwa tu Kama jina lake ,na ESCOROW aliigiza Kama abunuwasi pamoja na u Prof wake ,
 
Ushaambiwa compare na hao uwaaminio ww then unaanza kusema sio mzima, ukute nabishana na ww kumbe ulipata zero km kiongozi wako
 
Ni kweli Nina zero ,na kiongozi wangu mimi ni Mungu ,tufanye umeshinda ,ila nakushauri tu hilo jina lako ukiongeza Z mwishoni unaweza tengeneza hela za kutosha tu ukageuzwa JUMBO PLATTER ,
 
Kwenye ukoo wenu wote hakuna mtu aliyesoma kama sospeter muhongo, ww mwenyewe ume-fail 4m4, umepata div5, utajifananisha na jembe #1 east afrika, EAST AFRIKA NZIMA HAKUNA MTU MWENYE CV WA KUMFIKIA SOSPETER MUHONGO

Unaabudu CV au utendaji?
 
Kwenye ukoo wenu wote hakuna mtu aliyesoma kama sospeter muhongo, ww mwenyewe ume-fail 4m4, umepata div5, utajifananisha na jembe #1 east afrika, EAST AFRIKA NZIMA HAKUNA MTU MWENYE CV WA KUMFIKIA SOSPETER MUHONGO
Tupe GPA yake ya first degree yake kuthibitisha yeye nikipanga. Mmekaririsha kasa mnameza.

Au hujui maana ya GPA!!??
 
Back
Top Bottom