[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ukiona hivyo jua umri umekutupa mkono,usi force kuwa kijana wakati zilipendwa.
Wafanye live band kwa kiingilio kipi mzee baba. Yaani ki elfu 10000 chako unataka wakufanyie kama show za mbefele.Sijui kwanini hawawezi kufanya mtindo wa live band
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Wengine tupo na pop corn kusubiria mtanange uanzeHii posti ,,,,watu watazichapa maana naanza kuliona povu .