Wasanii Wa Bongo Mtafika Lini Level Hizi? Tazama Utajiri, Mali Na Maisha Ya Billionea "WILL SMITH"

Umewahi kununua kazi yoyote ya msanii wa ndani ili kumuunga mkono?huu utaratibu ku-download nyimbo bure na kununua hata merchandise za wasanii hatutaki basi tusahau kuwaona na maisha hayo.
 
Umewahi kununua kazi yoyote ya msanii wa ndani ili kumuunga mkono?huu utaratibu ku-download nyimbo bure na kununua hata merchandise za wasanii hatutaki basi tusahau kuwaona na maisha hayo.

kununua watu wananunua sana, tatizo wasanii wetu nao kichwan hamna kitu hata uwape billion 10 kila mmoja watafilisika tu
 
Mbona Smith hana hela ndefu hata kidogo.. with comparison to U.S celebrity.. Eg Tiger Wood, Pdiddy, JayZ, Dr. Dre, MayWeather, King James, etc..
 
Celebrity so far ambaye ni tajiri in future kama akitaka na idriss. Anachotakiwa kufanya aanze suth africa akamuone Noah, then amtafute Chriss Tucker Holywood. Akope hata pesa hata mimi nitamchangia dola mia ya nauli akitaka kwenda USA Hollywood.
Teh teh..Inaonekana una imani sana na huyo jamaa
 
Mbona Smith hana hela ndefu hata kidogo.. with comparison to U.S celebrity.. Eg Tiger Wood, Pdiddy, JayZ, Dr. Dre, MayWeather, King James, etc..

lakini pia ni tajiri mkubwa tu compare na hawa wakwetu africa
 
We Umeshalia.?...Bado Nabangaiza Ntafka Tu Mana Mungu Ni Mwema Kwa Wanaotafuta Kwa Haki
 
Acha kumlinganisha will na vtu vya ajabu. Huyu anakipaji... anachekesha, anaact movie, anaimba. Kaoa msanii na watoto wake wanavipaji ni wasanii.
 
Back
Top Bottom