wasanii vijana wananiboa

birungi

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
391
16
habari zenu jamani wadau wa JF.
mimi hili jambo limenikaa mda mrefu nalichambua na kutafakari,zaidi sana linazidi kuniboa.:A S cry:
nimeangalia kampeni nyingi za siasa kama si kuona hata kwenye vyombo vya habari. ni ukweli usiopingika kuwa chama tawala kina watu wengi ila ni watu wenye umri mkubwa,(namaanisha wenye mapenzi ya dhati na hichi chama) mfano halisi ni mama yangu. na vijana wengi wapo kwenye vyama vya upinzani maana kwa kiwango kikubwa inaonyesha vyama hivi vina sera hai na zinazotekelezeka na kwa vielelezo.kwa kua vijana tuna akili active na tunaandaa taifa letu wenyewe maana VIJANA NI TAIFA LA SASA ndio maana wengi tunasapot hivi vyama tofauti na chama tawala.
Sasa kinachoniboa.....hawa wasanii vijana wanaotumia mda wao kuimba kwenye kampeni za chama tawala.najua fika wengine hawataipigia kura japo wanaiimbia,lakini sasa wangekikataa kwa vitendo.wasingekubali kuimba au kufanya tamasha lao zaidi sana wangekua upande wa vyama tofauti na hicho cha wazee, simaanishi chadema, hata ppt maendeleo au tlp.
napata huzuni kuwaona marlaw,tmk,diamond na hata the orijino komedy kuwa upande wa wazee.na sidhani kama wanawapenda ila tu nadhani ni kwa ajili ya kimaslahi zaidi,lakini walikua na uwezo wa kuwakatalia.naboreka sana bora wangeenda kuimbia vyama vyenye sera zinazotekelezeka. huko kwa wazee wawaachie sikinde na msondo au TOT.sijui wenzangu mnalionaje???
:sad:bora nimetoa dukuduku langu la hawa vijana kuniboa.
 
kukataa si rahisi kihvyo hapa bongo kaka,jambo moja tu unaweza kukataa kirahisi, kupga kura kwa unaemtaka! hakuna wa kukusimamia umpigieyeye! imba, kula hela yao ila kura mmh haiwahusu!
 
nimeelewa,lakini kwa nini wasifanye toka moyoni??
sio huku kwenye wimbo anasema tumechoka kungoja chagueni ccm...huku moyo wake ndani unamwambia (bora mchague chama kingine...hii wizi mtupu) wanapaswa kuwa real
 
Back
Top Bottom