Wasanii 5 Wa Tanzania Wenye Pesa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wasanii 5 Wa Tanzania Wenye Pesa

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Allien, Jan 22, 2012.

 1. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  No. 1: Hasheem Thabeet: (The Untouchable)


  [​IMG]

  Fame favours the young. If you doubt that, just take a look at this man. He's only 24 years old and yet so rich.

  Hasheem Manka Thabeet, kijana ambaye miaka 5 iliyopita alikuwa anaonekana kituko na kuchekwa na vijana wenzie kwa sababu ya urefu wake, now is the first billionaire in entertainment industry with ten-figures fortunes.

  The NBA's Houston Rockets superstar ambaye last year alipeleka bank mkwanja unaokadiriwa kufikia Billioni 7 za kibongo, this time around ame-top our annual list of highest earner in entertainment scene, akiwa ametengeneza over shilingi billion 9,229,896,000 TZS kupitia mkataba wake wa miaka 4 wenye thamani ya $20.85 million wa kucheza ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani.

  [​IMG]

  The 7.3 feet big man who's currently living large in US, miezi kadhaa iliyopita alimnunulia bi mkubwa wake mjengo wa maana maeneo ya Masaki, pamoja na kumchukulia ride kali aina ya Range-Sports ambayo kwa pamoja na mjengo gharama yake inakadiriwa kufikia 1 billion na points kadhaa.

  The former Memphis Grizzlies center pia anatengeneza mkwanja mwingine tofauti na mshahara wake katika endorsement deal na Chinese shoemaker Li Ning. Pesa aipatayo Hasheem kupitia deal hili ndio anayoitumia in his charitable endeavors in Tzee.

  What more can we say about this ... person from the Golden era of Makongo Secondary?

  No. 2: Lady Jay Dee

  She's not only the queen of Bongo Flava, but also the most powerful and self-made richest musician in Tzee.

  [​IMG]

  Call her Judith Daines Wambura Mbibo a.k.a Comandoo a.k.a Binti Machozi - Lady Jay Dee, mke wa Gardner G Habash ambaye ni moja ya watangazaji bora wa radio wa muda wote in 255 area code. Akiwa na miaka 10 ndani ya showbiz arena, Jay Dee still reigns in fame and fortune in Tzee music industry.

  Katika kipindi cha miezi 12 iliyopita, this business minded woman kupitia kampuni yake ya MACHOZI CO. LTD alifanikiwa kufungua a nice restaurant"Nyumbani Lounge'; mgahawa ambao aliitumia zaidi ya million 150 za kibongo kuusimamisha and so far since aifungue "Nyumbani Lounge" biashara inaonekana kuwa nzuri akikadiriwa kuingiza bank more than a mill per day.

  [​IMG]

  Jay Dee ambaye kupitia bendi yake ya "Machozi" ndani ya mwaka jana alikuwa akipiga shows 2 ndani ya week, na kila show anakadiriwa kuingiza zaidi ya millionl 2. Pia on April to May Binti Machozi alikuwa kwenye music tour ya zaidi ya mwezi mmoja barani ulaya katika nchi za Greece, Sweden, Holland and Norway where she is said to have banked mkwanja mrefu unakadiriwa kufikia zaidi ya Mil 30 za JK.

  The multi-award winning singer who also owns a luxurious home, earlier this year pamoja na kuzindua mgahawa wake pia alipata mchongo wa multi-millions na kampuni ya Mohamed Enterprises kwa ajili ya kutengeneza maji ya "Jay Dee Pure Drinking Water" na kwa bahati mbaya maji hayo yalipigwa stop na TFDA, lakini the good news at anytime this year mzigo utaingia sokoni na kuendelea kujaza bank account ya Jay Dee.

  Machozi Band lead singer and owner, mwaka jana pia ameendelea kujaza parking ya nyumbani kwake baada ya ku-purchase a new tour bus kwa ajili ya bepdi lenye thamani ya Millioni 30. Jay Dee tayari ana ndinga kali za gharama Nissan Murano na Prado ambazo zote kwa pamoja zina thamani ya zaidi ya $50,000.

  Jay Dee is estimated to earned around TZS 400million.
  No. 3: Vincent Kigosi "Ray"

  When it comes to the person who is dedicated, love and respect his work, Vincent Kigosi aka Ray ni mfano mzuri wa maelezo haya na ndio maana haishangazi kumuona akishika nafasi ya tatu katika listi ya celebs wa kibongo waliotengeneza mkwanja mrefu katika kipindi cha miezi 12 iliyopita.

  [​IMG]

  Co-owner wa one of biggest film company in JK's land, RJ Company, ana mkataba unaokadiriwa kufikia at least TZS 30 million kwa kupeleka movie moja kila mwezi kwa kampuni kubwa ya usambazaji wa filamu ya Steps Entertainment.

  Also in 12 months, RJ Company imetengeneza filamu kama vile "Pretty Girl': "Offside': "Family Disaster': "Second Wife': "Handsome wa Kijiji': "What's It""Unpredictable': and "The Shell': In all these movies, he did not only act as main character, pia alikuwa ni director, and movie editor.

  [​IMG]

  Ex-member wa Kaole Sanaa group mapema mwaka jana all-jet out of the country kuelekea Singapore kufanya manunuzi ya film production equipments zenye thamani ya zaidi million 100 za kibongo.

  Ray ambaye tayari alikuwa na gari mbili Toyota Rav 4 pamoja na Harrier, recently ali-purchase new ride Toyota Land Cruiser VX ambayo ameinunua kwa gharama zisizo pungua millioni 60 za madafu na kuendelea kuugeuza mjengo wake anaoishi mama yake uliopo maeneo ya Sinza-Dar kugeuka kuwa yadi.

  In 2011 he has grossed almostTZS 300 million.  No. 4: Steven Kanumba

  From being a normal person in Ngokolo-Shinyanga to become the most successful actor in Tzee film industry. Here's our fourth highest earner in 2011 ni Steven Charles Kanumba.

  [​IMG]

  Tollywood heartthrob grossed more than TZS 280 million between November 2010 and November 2011 kupitia filamu za "Devil Kingdom': "Moses': "Offside': "Deception""Uncle JJ': and "Because of You" (all produced by his own film company), pamoja na endorsement deals kutoka Star times, Zantel and TSN Supermarket.

  [​IMG]

  Kanumba who said to have a plan ya kugombea ubunge mwaka 2015 katika jimbo la Shinyanga mjini, kwa sasa tayari ameshawajengea nyumba wazazi wake, he has 3 plot in Dar, na ndani ya mwaka jana pekee "Young Billionaire" superstar ametumia zaidi ya million 100 kununua vifaa vya production for his film company, zikiwemo proffessional cameras,cranes, lights, monitors na usafiri.

  The Great who's ex-flame of Wema Sepetu, just recently aliongeza idadi ya his classy rides baada ya kuvuta mkoko mpya aina ya Land cruiser V8 yenye thamani ya millioni 70 za kibongo.  No. 5:L Professor Jay

  He's unarguably the best and most successful artist hip hop and of all time in Tanzania, na ndio maana
  haishangazi kumuona akiwa mtu pekee anayeiwakilisha Hip Hop katika listi hii.

  [​IMG]

  Tzee Hip Hop's Heavy Weight emcee has made into our annual list of the cash Kings and Queens, akikadiriwa kuingiza zaidi ya mil. L50 za kibongo kupitia muziki wake and his other business activities.

  Pro. Jay ambaye jina lake halisi ni Joseph Haule ni moja kati ya wasanii wachache wanaolipwa vizuri kupitia shows wanazofanya.

  Mwanzoni mwa mwaka jana Prof. Jay was on world music tour iliyodumu kwa takribani miezi isiyopungua mitano, akianzia Africa, then America, Europe na akamalizia Asia, ambapo anakadiriwa kufanya shows zaidi ya 30 ambazo zilimuingizia mkwanja mrefu mno which made him to complete the construction of his huge house ambayo inakadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya million 180.

  [​IMG]

  Recently the "Kamili Gado" rapper aliongeza idadi assets zake baada ya kununua mashamba mawili makubwa nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam ambayo yote mawili yanakadiriwa kuwa na thamani zaidi ya million 60.

  Proffesor sio mchoyo, kidogo anachokipata anagawana na wenzie. Kupitia Prof.Jay Foundation, 'Daddy'anatarajiwa kuanza kujenga studio ya kisasa in his home, ambayo itasaidia wasanii wenye vipaji lakini ambao hawana uwezo wa kifedha kuingia studio.


  Source: Babu Kubwa Magazine: Dec-Jan 2012.
   

  Attached Files:

 2. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Lesson Learnt: Inawezekana kabisa kupata pesa nzuri bila ufisadi wala bila kubebwa. Juhudi na maarifa ndiyo siri ya mafanikio.

  Big up sana vijana wetu. Wasanii na Wanamichezo wengine tuige mfano.
   
 3. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  bado wanakuja wengi na tutawashangaa wengi sana. haya yote mshukuruni mmarekani aliyeutokomeza ukomunisti na binamu yake ujamaa na kujitegemea. watu kama marijani shabani, mzee upara(fundi saidi) na wasannii wengine wangekuwa ni mabilionea sasa hivi kama kusingekuwa na Azimio la arusha.
   
 4. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #4
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Kumbe sugu sio msanii!
   
 5. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #5
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Huu uchunguzi ni kwa mujibu wa nn?
   
 6. k

  kisukari JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,753
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  mmmh,lakini mengine hayajazidishwa?
   
 7. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Lady Jay Dee ni mfano wa Kuigwa kwa akina Dada. Kwamba kila kitu kinawezekana na si lazima ubebwe. Ni kukomaa tu. Ukiacha Thabeet ambaye nawezeza nisimhesabie kwa kuwa yuko marekani na ndiko alikopata hizo pesa, Lady Jay Dee ndiye ambaye amefunika.

  Kaza buti mama, hakika wewe ni Komandoo wa kweli.
   
 8. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145

  Mkuu, kuja wengi si hoja maana wako wengi tayari na wengine wanafifia hadi hawasikiki tena. Issue hapa ni kukomaa katika gemu. Ukimwondoa Hasheem, wengine wote wako katika gemu muda mrefu na wamekuwa na juhudi na vipaji vya pekee.
   
 9. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Ni Msanii au alikuwa Msanii. Ila Top 5 waliofanikiwa kipesa from scratch ni hao.
   
 10. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #10
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Si vibaya ukijitahidi kusoma kwa umakini. Source imeandikwa pia:

  Source: Babu Kubwa Magazine: Dec-Jan 2012.
   
 11. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #11
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Tunaowafahamu, hakuna lililozidishwa. Ni mafanikio mazuri kwa Wasanii lakini siyo makubwa saaana ukimwondoa Thabeet.
   
 12. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #12
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Pamoja sana.

  Respect.
   
 13. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #13
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Principles za mafanikio kwa mtu yeyote ni zile zile za kisayansi . . . .
   
 14. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #14
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Hv bABKUBWA magazine linamilikiwa na nani?
   
 15. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #15
  Jan 22, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  big up! sishangai, watano hawa wanajituma sana, wanastahili.
   
 16. +255

  +255 JF-Expert Member

  #16
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,908
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  CLOUDS MEDIA GROUP!(am not sure). Kwani na Hashim naye ni msanii??!
  Ila huyo namba 5 nina doubt n msiulize kwanini...
   
 17. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #17
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Linamilikiwa na Binti moja makini sana anaitwa EMELDA. Sifahamu mengi sana juu yake ila najua she is good na ni mfano wa kuigwa.

  Kuna something good coming from huyu binti. Atakuwa na TV shows yake itakayoitwa "The Emelda Show" Hii itakuwa ni show ambayo mlengo wake ni kuwa- inspire na to encourage pamoja na kuwasaidia watu kuhusu jinsi ya kukabiliana na changamoto mbalimbali za kimaisha, so they can have hopes. Walengwa zaidi wa show hii kwa asilimia 80% itawahusu wanawake wenye umri kati ya miaka kati ya 18-35.

  So far Emelda bado yupo location na ana-shoot na kampuni ya GRM Production na pia yupo katika mazungumzo na vituo tofauti vya TV. So anytime soon show itaanza katika TV.

  Haaaa haaa leo natumia Kiswanglish cha mjini. Ndo lugha ya Wasanii hiyo, au vipi bana, au siyo mchizi wangu!
   
 18. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #18
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Nami nakuunga mkono. Tuwape moyo ili vijana wengine waige. Uzuri wake sasa Wasanii wanaanza wadogo: Kina Jeniffer (Uncle JJ); Dogo janja (Tip Top), Aslay (naenda Kumwambia Mama)
   
 19. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #19
  Jan 22, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Namsubiri Emelda na show yake....she is smart and inspiring....!!
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Jan 22, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  inspiring thread:poa
   
Loading...