Hapa pia mkuu kuna mambo mawili,kujiona kupitia wasanii,na pia kuchukua hatua juu ya namna ambayo umejiona kupitia wasanii hao.
Wasanii wanaimba na kuigiza yale ambayo yapo katika jamii,kupitia wasanii utajua kuwa jamii hiyo ni mambo gani yanachukua nafasi katika jamii hiyo.
Kwa hiyo hapo kioo kimekamilika,ila sasa hatua ya kujirekebisha unapojiangalia kwenye kioo ni hatua ya pili ambayo hapo pia wasanii wanatakiwa wachukue hatua thabiti.
Ni kweli mkuu wasanii sasa hivi hawalengi kuelimisha jamii,wanalenga kuingiza kipato,na wameona kuwa kuingiza kipato basi njia kubwa ni kufanya yale ambayo jamii husika inayapenda na kuyafanya kila uchao hivyo wanapotoa kazi zao jamii huzipokea kwa mikono miwili kwa sababu ndo mambo wanayapenda mno,
NI, post: 35312596, member: 570598"]
Mkuu tunapo jianagalia kwenye kioo tanatakiwa tujione kama tupo sawa, na pale penye mapungufu tuone kama ni mapungufu ili tujirekebishe.