Ni VIBURUDISHO vya jamii ie to entertain the state . Hawa wako katika kundi la Iron boys! by Plato..... The iron boys, the dull ones were to be prepared for intellectually less demanding jobs; farmers, carpentry or iron smiths , to add musicWakuu salaam
Unajua nimekuwa nikijiuliza hivi ni nani aliyesema msanii ni kioo cha jamii? au kuna maana gani unaposema msanii ni kioo cha jamii? au ni wakati gani msanii anakuwa ni kioo cha jamii?
Kwa ninavyofahamu unapojiangalia kwenye kioo unatakiwa ujione mapungufu yako. Na ndio kazi ya kioo, kama unavaa tai huku ukijiangalia kwenye kioo unaangalia ni sehemu gani haijakaa sawa ili uirekebishe. Na kama unaajiangalia usoni unaangalia ni sehamu gani kuna chunusi au kipele ili ukitumbue.
Sasa hawa wanaoitwa wasanii huwa huo ukioo wao upo wapi? maana si kwa nyimbo wanazoimba (hadi nyingine kufungiwa na BASATA), wala kwa maigizo wanayoigiza,wala kwa mavazi ya ajabu ajabu wanayovaa na mienendo yao kwa ujumla.Ni skendo tu za ajabu ajabu.
Usiseme eti wanaelimisha jamii,elimu gani hasa? na kama ni kuelimisha mbona walimu wanaelimisha lakini hawaitwi vioo.
Na kuelimisha tu haitoshelezi kuitwa vioo,maana wana mapungufu mengi.
Labda wawe ni burudani tu kwa jamii,na hapo ni kwa atakayetaka kuburudika. Lakini kwa vioo vya jamii hapana.
Nimekuwa nikiwaza sana tokea zamani.Unajua nimekuwa nikijiuliza hivi ni nani aliyesema msanii ni kioo cha jamii? au kuna maana gani unaposema msanii ni kioo cha jamii? au ni wakati gani msanii anakuwa ni kioo cha jamii?
Kabisa mkuu,wasanii hawa sio vioo vya jamii kwa mambo yanavyoenda.Kwa ninavyofahamu unapojiangalia kwenye kioo unatakiwa ujione mapungufu yako. Na ndio kazi ya kioo, kama unavaa tai huku ukijiangalia kwenye kioo unaangalia ni sehemu gani haijakaa sawa ili uirekebishe. Na kama unaajiangalia usoni unaangalia ni sehamu gani kuna chunusi au kipele ili ukitumbue.
Nadhani kioo maana yake kuwa jamii yenyewe inajiangalia kupitia wasanii.Usiseme eti wanaelimisha jamii,elimu gani hasa? na kama ni kuelimisha mbona walimu wanaelimisha lakini hawaitwi vioo.
Nadhani hata vioo vyenyewe halisi vina maoungufu mengi.kuna vioo vimetoboka toboka lakini tunavitumia.Na kuelimisha tu haitoshelezi kuitwa vioo,maana wana mapungufu mengi.
Nam nadhani pia wanaburudisha lakini pia ni kioo kwa sababu mfano sasa hivi kupitia wasanii tunaona kuwa mapenzi na zinaa ndio imejaa kwenye jamii kutokana na sanaa nyingi kubase huko kwenye mambo hayoLabda wawe ni burudani tu kwa jamii,na hapo ni kwa atakayetaka kuburudika. Lakini kwa vioo vya jamii hapana
Mkuu tunapo jianagalia kwenye kioo tanatakiwa tujione kama tupo sawa, na pale penye mapungufu tuone kama ni mapungufu ili tujirekebishe.Nimekuwa nikiwaza sana tokea zamani.
Kabisa mkuu,wasanii hawa sio vioo vya jamii kwa mambo yanavyoenda.
Nadhani kioo maana yake kuwa jamii yenyewe inajiangalia kupitia wasanii.
Mfano kama jamii ina tatizo la wizi maana yake wasanii (vioo) watunge maudhui mengi yanayohusu wizi ili jamii ijione kwenye kile kioo(wasanii)kuwa daah jamii yetu inawizi sasa tujirekebishe.
Nadhani hata vioo vyenyewe halisi vina maoungufu mengi.kuna vioo vimetoboka toboka lakini tunavitumia.
Kuna vioo ni vyrmbamba hatujioni mazima ila tunavitumia kuangalia japo sehemu ndogo tunapojiona.
Kuna vioo ukijiangalia unajiona bonge kweli ila unakitumia pia.
Nam nadhani pia wanaburudisha lakini pia ni kioo kwa sababu mfano sasa hivi kupitia wasanii tunaona kuwa mapenzi na zinaa ndio imejaa kwenye jamii kutokana na sanaa nyingi kubase huko kwenye mambo hayo
Hivyo hapo tumetumia kioo(msanii) kujua jamii ina nini,kwa hiyo sisi kama jamii sasa tunajiona kuwa jamii yetu inawaza zinaa na mapenzi sana kupitia vioo tunavyojitizamia.
Umeleta maana yako ya msanii,sawaMungu alimuumba mwanadamu kam kiumbe chenye akili na maarifa ya hali ya juu kuliko viumbe vyote,akampa mwanadamu power to decide what is right what is wrong...
Msanii kuwa kioo cha jamii maanake ni kuwa unapaswa kuchukua mazuri yake tu yale mabaya yake unayoyaona au kuyasikia unajiepusha nayo,kwa Mfano umenyoa mtindo fulani wa nywele ukajiangalia kwenye kioo ukaona hujapendezwa nao obvious utanyoa mpk pale utakapopendezwa na mtindo mwingine that's how Msanii huwa kioo cha jamii chukua mazuri mbaya achana nayo.
Ni wewe na akili yako kung'amua mkuu ila tafsiri niliokupa ndo iyo.Umeleta maana yako ya msanii,sawa
Sasa kama msanii anamabaya na mazuri na hatuonyeshi mazuri yepi mabaya yepi sasa hapo anakuje ni kioo?
Kioo kinatakiwa kikuonyeshe vizuri pale penye kasoro uone panakasoro na palipo sawa uone pako sawa.
Sasa kuwa specific ni msanii gani na amefanya nini.Kwani wewe unaposikia msanii ni kioo cha jamii huwa unalewa ni msanii gani hasa?
Kumbe sio wote ni vioo.Usiwajumuishe wasanii wote wengne hutoa maudhui sahihi kwa jamii kiujumla..
Sent using Jamii Forums mobile app
Comment yako imenifanya nicheke bila sauti.Mungu alimuumba mwanadamu kam kiumbe chenye akili na maarifa ya hali ya juu kuliko viumbe vyote,akampa mwanadamu power to decide what is right what is wrong...
Msanii kuwa kioo cha jamii maanake ni kuwa unapaswa kuchukua mazuri yake tu yale mabaya yake unayoyaona au kuyasikia unajiepusha nayo,kwa Mfano umenyoa mtindo fulani wa nywele ukajiangalia kwenye kioo ukaona hujapendezwa nao obvious utanyoa mpk pale utakapopendezwa na mtindo mwingine that's how Msanii huwa kioo cha jamii chukua mazuri mbaya achana nayo.
Mkuu hawa jamaa hawaelewi unajua unaposema kioo maana yake unaweza pia kufuata mwenendo wake, maana yake msanii ni kiigizo.Comment yako imenifanya nicheke bila sauti.
Sasa kama lily wyne utachukua mazuri gani tu kwa ku mtizama mwonekano wake?
Waigizaji wa porno graph nao ni wasanii hao nao wana mazuri gani ya kuchukua?
Shame..
Ulianza vzr uliposema Mungu kampa akili mwanadamu ya kujua mema na mabaya.
Sasa huyo mwanadamu kwanini asimfuate Mungu awe kioo chake?
Si ingekuwa bora zaidi?
Afuate alie Kamili kuliko mwenye njia mbili njema na mbaya.
Kiukweli kabisa Mm mwenyewe sikubaliani na huo msemo hata kidgo.Mkuu hawa jamaa hawaelewi unajua unaposema kioo maana yake unaweza pia kufuata mwenendo wake, maana yake msanii ni kiigizo.
Sasa kwa maana hii huwezi kuwaita hawa wasanii ni vioo. Maana hawastahiki.
Hapa pia mkuu kuna mambo mawili,kujiona kupitia wasanii,na pia kuchukua hatua juu ya namna ambayo umejiona kupitia wasanii hao.Sasa hawa wasanii ni vioo vya aina gani ambavyo jamii inajiona lakini haijioni kama inamapungufu bali inajiona ipo sawa tu.
Ni kweli mkuu wasanii sasa hivi hawalengi kuelimisha jamii,wanalenga kuingiza kipato,na wameona kuwa kuingiza kipato basi njia kubwa ni kufanya yale ambayo jamii husika inayapenda na kuyafanya kila uchao hivyo wanapotoa kazi zao jamii huzipokea kwa mikono miwili kwa sababu ndo mambo wanayapenda mno,Maana kwa namna hawa wasanii wanavyo wasilisha jamii haiwezi kujiona kuwa inamapungufu.
Tuko pamojaHapa pia mkuu kuna mambo mawili,kujiona kupitia wasanii,na pia kuchukua hatua juu ya namna ambayo umejiona kupitia wasanii hao.
Wasanii wanaimba na kuigiza yale ambayo yapo katika jamii,kupitia wasanii utajua kuwa jamii hiyo ni mambo gani yanachukua nafasi katika jamii hiyo.
Kwa hiyo hapo kioo kimekamilika,ila sasa hatua ya kujirekebisha unapojiangalia kwenye kioo ni hatua ya pili ambayo hapo pia wasanii wanatakiwa wachukue hatua thabiti.
Ni kweli mkuu wasanii sasa hivi hawalengi kuelimisha jamii,wanalenga kuingiza kipato,na wameona kuwa kuingiza kipato basi njia kubwa ni kufanya yale ambayo jamii husika inayapenda na kuyafanya kila uchao hivyo wanapotoa kazi zao jamii huzipokea kwa mikono miwili kwa sababu ndo mambo wanayapenda mno,
NI, post: 35312596, member: 570598"]
Mkuu tunapo jianagalia kwenye kioo tanatakiwa tujione kama tupo sawa, na pale penye mapungufu tuone kama ni mapungufu ili tujirekebishe.