Wasanii ni walimu wazuri sana

Wasanii ni walimu wazuri sana

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,265
Reaction score
98,318
Wale wazalendo wa kweli ndiyo wataielewa hii picha na wale wazandiki wataibeza.Poleni watumishi wetu
FB_IMG_1543247251835.jpeg
 
Dah Tanzania kuna unyonyaji mkubwa sana, hapo kuna watu bado wanahisi watakombolewa na wanasiasa......hahahahah
 
Serikali hasa hii nasema hasa hii sijui nimeeleweka nikisema hasa hii haina tofauti na changamoto yeyote tukutanazo maishani mfano umekutana na jambadhi au malaria
 
Unyonyaji upo,Usimwamini sana mwanasiasa anayesema anapigania maslahi ya mlalahoi
 
Wana siasa walio wengi kwa asili na kwa asilimia kubwa wana vimelea vya unyonyaji
 
Back
Top Bottom