Wasanii na nyimbo mpya za maombolezo

Wasanii na nyimbo mpya za maombolezo

kutunga wimbo sio lazima ichukue mwaka mzima hata saa moja latosha kabisa vilevile hata kurecord kwa hiyo sioni cha ajabu katika hilo.
 
sasa ndugu yangu, yaan kutunga na kuekodi mziki katika ulimwengu wa ki-digitali ulitaka watumie siku tano......Studio kila kona na vifaa vya uhakika, sio zamani kurekod mpaka uende Radio Tanzania Da es salaam(RTD).........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom