Wasanii chanzo cha mimba za utotoni Tanzania

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
6,589
2,000
Nyimbo zote na filamu zote zinaimba namna mapenzi yalivyo matamu na mazuri. Radio, TV na magazeti yote yanaandika, kutangaza na kuonyesha nyimbo na filamu hizi zinazosifia utamu na uhondo uliomo kwenye mapenzi. Watoto wetu bila kufahamu wala kutafakari wanavutika na kushiwishika, hivyo kuwafanya na wao wajaribu yanayoimbwa na kuonyeshwa na wasanii na kuishia kunasia hukohuko. Nyimbo na filamu za mapenzi zisipigwe na kurushwa kwenye vyombo za habari nyakati za mchana na zisipigwe na kuonyeshwa kabisaa na vyombo vya habari vya taifa kama RTD/ TBC hata kidogo.
 

Chige

JF-Expert Member
Dec 20, 2008
11,510
2,000
Mimba za utotoni nchi hii zimeanza hata kabla mamake Bi. Sandrah, yaani bibi ake Chibu hajazaliwa!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom