Wasanii 5 Wa Tanzania Wenye Pesa

Sidhani kama Bab kubwa Magazine linamilikiwa na Emelda. Bali linamilikiwa na Clouds Media Group,na Emelda ninachofahamu anaendesha jarida la 'Bang'.
Ila sidhani kama kuna uhalisia wa asilimia 100 kuhusu hao top 5 kutengeneza mkwanja wa namna hiyo. Pengine wameandika hivyo ili kuuza jarida lao. Na hata tukimchambua msanii mmoja mmoja.
1. Hasheem Thabeet- Jamaa sio msanii bali ni mwanamichezo na hata hicho kipato chake ambacho wameandika kwamba alitengeneza mwaka jana,nadhani ni kwa upande wa mshahara tu na hapo bado ujaondoa makato mbalimbali ikiwemo kodi.
2. Lady Jaydee na Prof Jay-sidhani kama vyanzo vyao vya mapato viko wazi kiasi hicho.
3. Ray na Kanumba-Hawa inaonekana kama wanatengeneza fedha nyingi sana kupitia movies,ila sidhani kama kuna ukweli kwa 1oo% kusema wametengeneza pesa kiasi hicho.

Note: Sijampinga msanii au yeyote aliyepo katika orodha hiyo,ila sitaki kuamini kuwa hiyo habari ina ukweli kiasi cha hata asilimia 40.

Noted with Thanks.

Umiliki - Noted.
Uhalisia - Obvious. Nchi yetu haina mfumo wa kuweza kupata accurate data. Ndo maana hadi leo hatuna list ya Riches. Wewe ukisema ni Mengi, au Rostam, mimi nitasema ni Mzee Sabodo au lowassa nk
Hasheem Thabeet - Agreed. Si Msanii. Ila wote hawa wako katika Enterteinment Industry.
Lady JD na Prof - Share nasi unachojua maana mambo haya huwa yanaandikwa hata magazetini. Na pia fans wanaona assets walizonazo.
Ray na Kanumba - Share na sisi kilicho cha ukweli.

Respect.
 
Yaani ukose milioni 50 ya mtaji jamani? Haiwezekani.....isipotosha utasubiri tu au ulipe kwa installment...lol

Naweza kuwa hata zaidi ya JD ila si kwenye kuimba.....lol

Kuni Rav4 ndo kunifanyeje tena? Avatar ipi hiyo mkuu,ya huyu dada au mwingine?

Uwiiii Miche, Posa Million 50? Nafwaaa! Acha utani bana. Au ndo unanikatalia kidiplomasia.

Kuhusu kufanikiwa nakuaminia:

RAV4:

R=L
A=O
V=V
4=E

Avatar, the other one with low cut lol
 
Uwiiii Miche, Posa Million 50? Nafwaaa! Acha utani bana. Au ndo unanikatalia kidiplomasia.

Kuhusu kufanikiwa nakuaminia:

RAV4:

R=L
A=O
V=V
4=E

Avatar, the other one with low cut lol

Hufi mkuu,ni suala tu la kuongeza bidii....!

wajua kwa insipiration kama hizo hapo juu,hata sie mabinti tuna-AIM HIGHER...so posa inapanda!
 
Hufi mkuu,ni suala tu la kuongeza bidii....!

wajua kwa insipiration kama hizo hapo juu,hata sie mabinti tuna-AIM HIGHER...so posa inapanda!

Inakuwaje mtu wangu sasa? Mbona nina GX-100 na Tembo card? hazitoshi tu? lol
 
Bado kabisaa mkuu...kaza buti....!

sikujua unapita JF Chit Chat....mbunge wangu Mpolee aka Golden Mpolee!

Miche sijawahi kupost huko ila naona tu watu Wanadondokeana, mara Miche, mara Lizzy amar Kongosho, AD nk

Vijana mna mambo nyie.

Hiyo ya Mbunge . . . sijaelewa!
 
Miche sijawahi kupost huko ila naona tu watu Wanadondokeana, mara Miche, mara Lizzy amar Kongosho, AD nk

Vijana mna mambo nyie.

Hiyo ya Mbunge . . . sijaelewa!

Nafahamu hujawahi post huko, kile ndo kisiwa cha burudani/vituko na visa JF....!

Ni pazuri sana ukiwa umechoka mkuu,uwe unapita tu...!

Kuna dada waga anachangamsha sana lile jukwaa,ana malengo ya kuwa mbunge 2015 alikuwa akiitwa Mpolee,hivi karibuni amekuja kama Golden Mpoleee....utamsoma tu,ha ha haaaaaaaaaaaaaa!
 
Sidhani kama Bab kubwa Magazine linamilikiwa na Emelda. Bali linamilikiwa na Clouds Media Group,na Emelda ninachofahamu anaendesha jarida la 'Bang'.
Ila sidhani kama kuna uhalisia wa asilimia 100 kuhusu hao top 5 kutengeneza mkwanja wa namna hiyo. Pengine wameandika hivyo ili kuuza jarida lao. Na hata tukimchambua msanii mmoja mmoja.
1. Hasheem Thabeet- Jamaa sio msanii bali ni mwanamichezo na hata hicho kipato chake ambacho wameandika kwamba alitengeneza mwaka jana,nadhani ni kwa upande wa mshahara tu na hapo bado ujaondoa makato mbalimbali ikiwemo kodi.
2. Lady Jaydee na Prof Jay-sidhani kama vyanzo vyao vya mapato viko wazi kiasi hicho.
3. Ray na Kanumba-Hawa inaonekana kama wanatengeneza fedha nyingi sana kupitia movies,ila sidhani kama kuna ukweli kwa 1oo% kusema wametengeneza pesa kiasi hicho.

Note: Sijampinga msanii au yeyote aliyepo katika orodha hiyo,ila sitaki kuamini kuwa hiyo habari ina ukweli kiasi cha hata asilimia 40.

"Pia on April to May Binti Machozi alikuwa kwenye music tour ya zaidi ya mwezi mmoja barani ulaya katika nchi za Greece, Sweden, Holland and Norway where she is said to have banked mkwanja mrefu unakadiriwa kufikia zaidi ya Mil 30 za JK. "

Sidhani vile vijichumba vya kwnye shows za Ulaya akaweza ingizo mkwanja huo.
 
bado wanakuja wengi na tutawashangaa wengi sana. haya yote mshukuruni mmarekani aliyeutokomeza ukomunisti na binamu yake ujamaa na kujitegemea. watu kama marijani shabani, mzee upara(fundi saidi) na wasannii wengine wangekuwa ni mabilionea sasa hivi kama kusingekuwa na Azimio la arusha.

Likewise wewe ungekua hujajua kusoma wala kuandika, Azimio oyeeee, wengi wamesoma bure kwa uwepo wako. Nimekumis
 
This is good news; Nampenda sana Jay Dee, anajiheshimu sana, na amebadiri kabisa sura na maana ya usanii wa mziki wa kizazi kipya ambao kina Ray C na wengine waliifanya fani hii ionekane ni uhuni tu; Lakini cha kusikitisha ni kwamba Gardner kamuambukiza dada yetu ule ugonjwa, na maskini dada yetu hakujua mwenzake alikuwa ameshaumia; kwa muda mrefu tu, wote wawili wamekuwa wanatumia tembe za kusogeza mbele maisha; hizi ni habari za kweli na mkiwa na nafasi mkathibitishe, vinginevyo mpaka pale mtakapojua ukweli huu, i stand kushambuliwa humu kwa maneno kwamba nina chuki binafsi, wivu n.k;
 
Watu wawili nakubaliana na pesha zao, hasheem and JD but the rest pesa ndogo on top of that nahisi kama imezidishwa vile.
 
Me too . . . Mwaka huu tutaona mengi. talk shows zitakazoongezeka ni pamoja na "True Life Show" ya Madame Rita mbali na BBS. Pia kutakuwa na Sinta show. Stay tuned.
lol ...... iv vipindi vitarushwa channel gan mkuu???
 
sure,wamejitahidi ila nami nina wasiwasi na evaluation ya mali zao kama mdau alivyo na shaka na taarifa za prof jay ambazo nami namashaka pia.ile nyumba yake ni ya 180M? .pia haipo clear kwa hao wanao own companies(ray,kanumba na jaydee) hayo mapato ni faida waliyopata au ndo.....eg kwa jd 2M per show ndo anaingiza mfukoni or anatakiwa awalipe wanamuziki wake na gharama nyingine pia

Mbona anaforce king mkuu? Kwa nini povu linamtoka mdomoni namna hii kutetea hiyo thread aloitundika hapa jf? Anamaslahi gani nyuma yake? Kwa nini wale wanaomuunga mkono ndiyo great thinkers but wale wanaomdadisi siyo great thinkers? Kwa nini anafikiri kuwa kuwa great thinker ni kukubaliana na thread yake bila kuhoji?

Kuna jamaa umemuuliza kama alishawahi kutupia thread hapa jf, hivi issue ni just kutupia tu thread hapa jamvini hata kama haina mshiko? Ni lipi bora kukaa kimya kama huna cha kuongea ama just kuongea hata kama ni upupu? Sasa kwa kuwa yeye ameleta hii thread ndio tumuite great thinker? Ni akili gani alotumia hapo kama siyo kuicopy na kuja kuitupia hapa?

Thread yake imekaa kishabiki zaidi haina mashiko kwa kuwa unatumia nguvu nyingi kuwapinga na kuwakashfu wale wanaomchallenge. Clouds kazini.
 
mmmh,lakini mengine hayajazidishwa?

Mfano mzuri ni hapo kwa Jay Dee, mengi sana yamezidishwa. Tsh 400 mn? Acheni masikhara! A new tour bus Tsh mn 30, kweli? Mbona hakuna consistency? Hata a new grand vitara haiko cheap kihivyo, ripoti hii haiaminiki!
 
Back
Top Bottom