Tumechoshwa na story za wasaliti wasaliti wasaliti,zito zito zito,mkumbo mkumbo mkubo.if you guys think ur popular,register ur own party,mobilize ur followers na wanao waonea huruma,leave chadema alone.huu mjadala unakolezwa zaidi na vyombo vya habari....country men lets now discuss issues overiding our country,zito ni mtu mdogo sana.nimechoshwa na posts za wasaliti ndani ya jf mpaka naona kama zile feza wanazosema kaongwa zimemwagwa kwenye media ili wamtetee.tumechoshwaaaaaaa bwanaaa