Wasaidizi wa Rais tambueni kwamba huko Marekani atakumbana na Maswali mazito kuhusu Demokrasia na kesi ya Mbowe , Muandaeni mapema kisaikolojia

Mkuu uteuzi hauwezi kupata kwa vile huna watu wala koneksheni , hatujasahau kilichokukuta kwenye kura za maoni Kawe
 
Katika Africa kuwa ikulu sio kuwa bingwa wa demokrasia ndugu. Afrika chaguzi huadaliwa na watawala,upigaji na kuhesabu kura husimamiwa na watawala na mwishowe matokeo hutangazwa na haohao watawala. Kwa mazingira hayo anayekuwa ikulu sio bingwa wa demokrasia bali ni kipenzi cha watawala. Kama sio hvo pale Kenya means wa Jaramogi ambaye ni bingwa wa demokrasia angeishakuwa ikulu. Tunaizungumzia demokrasia ya Afrika ndugu.
 
Suala la demokrasia na udikteta halijawahi kuwa na Mswalie Mtume
Mseven na kagame wanapeta tuu, angalau jiwe alikuwa anaenda nao sawa, halafu mnaukuza udikteta wa mama hivi anawafikia wa hapo juu? Kama magu aliweza kuyafanya yale kipindi kile na marekani haikuwa na msaada wowote katika kurudisha demokrasia bado mnaitegemea tuu marekani iwasaidie? Pambaneni ninyi wenyewe marekani siku hizi hawajishughulishi Sana na kupigania demokrasia ya wengine, ukiona wanakuja ujue maslahi yao yameguswa
 
Tangu ufikirie kwamba bashite anafaa kuwa Rais ajaye baada ya magufuri nilijua haupo sawa kichwani
 
Rais Samia hafanyi ziara Marekani na ndiyo taarifa ya ikulu haikulisema, taarifa imesema wazi Rais anakwenda UN, na kama angekuwa na ziara baada ya kuhudhuria kikao taarifa ingesema baada ya UN atafanya ziara Marekani, tujifunze kujua mambo badala ya kubishana kama Simba na Yanga.
 
Exactly bro
 

Ataumbuka kwa nani?
Hivi na nyie mtaendelea kuwa matutusa hadi lini?
 

Fools never learn mkuu. Don’t waste your time
 
Inasikitisha sana..
 
Ushawai sikia urusi inawaomba condom, loans, chanjo??

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…