Wasaidieni walimu wa Private schools

mkuu upo lushoto maeneo gani? utakuwa unaizungumzia st. mary mazinde
 
Unapelekaje mtoto huko wakati hela yako ni yakuunga unga?


Kwa watanzania wengi si wanajenga nyumba lakini uwezo wa kujenga ni wa kuunga unga .
Mifumo ndiyo inayowafanya watu hata hospitali za serikali wanashindwa kupeleka wagonjwa wao kwa sababu ya huduma duni .
Mtu anauza mali zake ili mgonjwa atibiwe hata India .

Watu wanataka mtoto aweze kupata elimu inayoendana na dunia . Ni lazima aunge unge.

Hivi unajua Tanzania hata Pangekuwa na Gereza la kulipia wetu wangepelekwa wafungwa wao huko hata kwa kuuza mali zao ?
Ni mara ngapi watu wameuza mpaka Nyumba kwa ajili ya kumaliza Kesi .?Ungekuwa na ufahamu mzuri ungekuwa unajua kuwa huduma zote za umma ni mbovu sana na hazimjengi mtu wa chini zaidi ya kumfanya Kuwa jeuri na katili asiyejali wengine wala kuwatendea wema .
 
Hi
Hivyo vitambi kwa walimu wa Lushoto ni madhara ya kunywa mataputapu na siyo kwa sababu ya hiyo 2m+
 
Peleka mtoto kayumba acha maneno.mengi
 
Peleka mtoto kayumba acha maneno.mengi
Kayumba darasa moja lina wanafunzi 700. Hilo ni darasa au mkutano wa kufunga kampeni za CCM .?
Darasa limejaa watoto watukutu waliolala na njaa .
Wanahasira kama mbu wa Masika .
Darasa lina Kelele kama soko la Kariakoo
.Keyumba labda iwe boding lakini sio day.
 
Ndugu zangu ukitaka kujua uhuni unaofanyika kwenye hizi shule basi chukua mtihani wa mwanao halafu mpe afanye tena ukiwa umemsimania..
 
Mazinde Juu, jirani na ilipokuwa SEKOMU University!
 
Sio Harvard kweli hii πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…