Chief Isike
JF-Expert Member
- Jan 17, 2010
- 445
- 462
Sorry nimejaribu kuangalia kwa haraka haraka wapi ningeweza kuchangia AU KKULIWEKA HILI kati ya hoja ambazo tayari zipo sijabahatika kuona...kuna kitu kinaitwa ''twist of events'' kinaendelea nchini, ambapo kwa kweli CHADEMA wanaonekana kuwa at the centre...
Uamuzi wao wa kunyanyuka vitini na kuondoka ndani ya ukumbi wa bunge wakati 'muungwana' akianza kuhutubia umepeleka 'shock' kwa watawala wenye mawazo mgando, lakini kwa baadhi tunauona kuwa ni dalili ya kujua nini cha kufanya katika wakati gani kwa ajili ya nini...maturity ya juu katika demokrasia yetu ambayo kwa kweli bado iko kitandani (lakini sijui kama i macho au imelala fofofo kama si pono au kiasi)
Lakini kwa makusudi au kwa kutokujua...hoja yao imepotoshwa, tena hata wao wasipoangalia hoja yao itapotoshwa kweli kweli na uongo ukisemwa mara kwa mara huonekana ukweli, la sivyo itawagharimu nguvu kubwa mno kuja kusawazisha hali ya mambo.
Wao wanasema kwa mujibu wa katiba (mbovu by the way) na sheria tulizo nazo mpaka sasa nchini, hawana budi kumkubali Rais Kikwete kuwa ni rais wa nchi,
HOJA YAO...PAMOJA NA KUMTAMBUA KIKWETE kwa mujibu wa katiba kama rais, HAWAKUBALIANI NA MCHAKATO ULIOMWEKA MADARAKANI...KURA ZILIZOMPATIA USHINDI ZILICHAKACHULIWA, ndiyo maana wanahitaji tume huru ya uchunguzi kuangalia what exactly transpired during the last general election.
Lakini ili kuokoa zahama siku za usoni pia wanawakilisha watu wengi kwa kudai NEC mpya kabla ya uchaguzi mkuu ujao na Katiba mpya, na hili la NEC ni muhimu sana maana kila mwenye akili zake timamu anaiona hatari ya uchaguzi wowote nchini kuendelea kusimamiwa na NEC iliyopo sasa...na wanasema haidhuru iwapo basi walau mchakato wa katiba mpya uwe umeanza kama si kukamilika kabisa, ifikapo 2015.
Supporting argument yao, ni kuwa wapo marais au watawala kibao ambao walitumia njia haramu kuingia madarakani lakini waliposhika dola wananchi wao hawakuwa na budi kuwatmbua maana tayari ndiyo wanaoshikilia dola...CHADEMA wameamua kuwasilisha ujumbe wao wa UBOVU WA MFUMO WA UCHAGUZI na kudai madai mazito na muhimu kwa njia very democratic ambapo katika nchi nyingine ni mpaka amani inavunjika (siku zote pale ambapo haki inaminywa, ni kudanganyana tu kusema kuwa amani itakuwepo)
Lakini ukifuatilia coverage ya media zetu tangu pale 'Rais' Slaa alipozungumza na waandishi wa habari pale Dom akiwa flanked na Mwenyekiti wake Mbowe, hoja kuu imepotoshwa na ikazidi kupotoshwa walipoamua ku-walk out wakati JK anaanza kuhutubia...hoja yao imekuwa diminished if not weaken to the extent that eti HAWAMTAMBU RAIS na kuwa WAMESUSIA BUNGE, WAMEVUNJA SHERIA NA KANUNI (hazisemwi), WAMEASI, WATAVURUGA AMANI AND ALL THAT KIND OF BULLSHITS POINTS...
Zipo media na waandishi (ofcourse na baadhi ya viongozi wao wenyewe CHADEMA pia) ambao wameamua makusudi (wengine wanafanya kwa kutokuelewa hoja) kuupotosha umma kwa kuipotosha hoja hiyo, ili waonekane kuwa hawajui walichokifanya, tena wanafanya mambo ambayo Watanzania wapiga kura wao hawakuwatuma, wakorofi, wasumbufu n.k.
NANI MWENYE AKILI TIMAMU, BILA KUJALI 'maboksi' ya vyama, ukabila, udini, urangi, unufaikaji wa ufisadi na maboksi mengine mengi ANAWEZA KUPINDA MADAI YA CHADEMA...It is a coarse for change, help them as patriotic Tanzania, wakitokea wengine wenye mawazo kama yao, pia tuwaunge mkono, Tanzania kwanza, here we go. SAMAHANI kwa kuwasilisha kwa kirefu namna hiyo, though i wish to go on and elaborate more...
Tunao uhakika wabunge wapatao sita wataachia ngazi tayari kwa uchaguzi mdogo ambapo watagombea kwa tiketi ya vyama vingine iwe ni NCCR, CUF au CCM.
Tatizo la wabunge wa CHADEMA na wafuasi wake ni kuwa hawakufanya tathimini ya kina kabla ya kuchukua hatua hiyo ya kususia hotuba ya JK. CHADEMA, sasa ndio mnafahamu kuwa 'culture' yetu watanzania ni kuheshimu mamlaka na siyo vinginevyo. Vyombo vya habari siyo kwamba vinapotosha hali iliyopo bali ni kweli kuwa vinachambua hali iliyopo nchini kwa sasa.
NMi ujanja wa kitoto kwa CHADEMA kusema kuwa wanamtambua JK isipokuwa ambacho hawatambui ni matokeo yaliyomuweka JK madarakani. Huu ni ujanja wa kucheza na maneno - 'semantics.
Kitendo walichofanya wabunge wa CHADEMA cha kususia speech ya JK bungeni ni cha kijinga na uhuni mtupu. Huwezi mtu ukaamua kuvua nguo hadharani halafu udai kuwa eti 'unawasilisha ujumbe' au eti 'message sent'.
Mtu na akili zako unaamua kuweka kinyesi chako barabarani tena huku watu wakishuhudia eti kwa madai kuwa unataka 'kufikisha ujumbe' kwa wahusika. Kwani ujumbe huo unaofikisha kwa wahusika tuseme labda ni Jiji ni lazima uweke kinyasi chako barabarani? Kwani hakuna njia nyingine za kutumia kfikisha ujumbe wako?
Kwa kususia speech ya JK CHADEMA wamevunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na hasa kibara ya 62 ya katiba yetu. Ndio maana azimio la kuwang'oa wabunge wa CHADEMA litawasilishwa kwenye bvunge lijalo.
Tunataka tuone baada ya wabunge hao kung'olewa bungeni CHADEMA watafanya nini. Wao wanadai eti kuna 'PEOPLE'S POWER, Tutaona kwani hiyo PEOPLE'S POWER inaweza kugeuka dhidi yao.
CHADEMA wanalilia atiba mpya, sawa. Hapana shaka Tanzania tunahitaji katiba mpya. Lakini CHADEMA kwanza waanze na katiba ya kwao ambayo ni ya kidikteta. Huhitaji kugundua kuwa katiba ya CHADEMA ni ya kidikteta. Wewe angalia tu namna wanachama wake maarufu wanavyoachia ngazi. Mwenyekiti wao wa Mbeya aliachia juzi na sasa Mwenyekiti wa Baraza lao la Wanawake naye ameachia. Tunao uhakika wabunge wapatao sita wataachia ngazi tayari kwa uchaguzi mdogo ambapo watagombea kwa tiketi ya vyama vingine iwe ni NCCR, CUF au CCM.
Kwa hiiyo kutoka bungeni ndio katiba imebadilika au?kikwete sio raisi tena au?
Hasa hilo lilikua ndio kusuiao la CHADEMA kufikisha ujumbe mkali kwa watu kama wewe. Tathimini yako na mtazamo wako mfupi sana, CCM wakitaka kutikisa kibiriti wajaribu kupitisha hilo azimio!!!

1. Kwa upande wa upotoshaji wa hoja - hilo litaendelea kuwepo siku zote na ujue CCM inatumia mtaji wa umaskini na ujinga wa (baadhi ya) Watanzania. Baadhi ya waandishi wa habari wako pro-CCM na wanatumia vyombo vya habari kwa nia ya kulinda maslahi ya CCM zaidi hata pale wanapojua hawawatendei haki Watanzania.
2. Naamini uwongo hauwezi kubadilika kuwa ukweli hataka utarudiwarudiwa. Hoja ya Chadema inaeleweka na mtu yeyote ambaye ana'critical minda' anaielewa ila kuna baadhi wanaopindisha ukweli kwa ajili ya kulinda ajira/maslahi yao lakini naamini wanayodai Chadema yakiwezekana watu hao wanaopotosha ukweli watasema wao ndio wameleta mabadiliko na siyo Chadema.
Unakumbuka jinsi suala la Richmond lilivyoanza? Chadema waliianzisha lakini baadaye CCM walidai wao ndio waliolianzisha wakidhani Watanzania hawana kumbukumbu, wanasahau baada ya muda mfupi.
3. Ingawa rais ametangazwa ndiye kashinda, kulingana na Katiba yetu ndiye rais lakini kama ameingia madarakani kwa uchakachuaji wa kura siyo 'legitimate'. Kuna mwanafalsa mmoja anasema 'bad law is no law at all'. Kwa hiyo, kama kipengele fulani cha Katiba kinatia dosali upatikananji wa haki na kuminya uhuru wa watu, tutaendelea kudai kwa hali na mali hadi hapo itakapoonekana haja ya kubadilisha Katiba, ambayo ina vipengelea vinavyominya haki za Watanzania.
BADO NAAMINI kwamba jukumu hilo ni la chadema wenyewe na wana executives wenye uwezo huoTusaidiane kuelewesha wananchi kila wasaa upatikanapo,TAnzania itajengwa na sisi wenyewe