Wasafi FM's Block 89: A group of noise makers

Sio umri Wala majukumu wale majamaa hawajui kutangaza.....Huwa wanaongea vitu vingine unajiuliza hawa mbona wanaongopa mno!Eti baada ya ngoma ya "Ye" ya Burna Boy kufanyiwa remix na yule demu ndo umekuwa maarufu worldwide...dah...wanawadanganya Sana watu...!Hata utamshi wa maneno ni hovyo!.......Halafu hawajatulia mapepe na kuchekacheka ....!

pale abaki Jonijo tu!
 
Jamàa wanaboa kweli na mamisemo yao sasa mara bango limewaka mara mwamba kachill yaan hata hawaeleweki wanaongea kihuni sana ila nadhani kwa vijana wenzao wanaelewana sana.,.
Mshamba huwez kuelewa

yess BiShoo haswaaAaa
 
Sio umri Wala majukumu wale majamaa hawajui kutangaza.....Huwa wanaongea vitu vingine unajiuliza hawa mbona wanaongopa mno!Eti baada ya ngoma ya "Ye" ya Burna Boy kufanyiwa remix na yule demu ndo umekuwa maarufu worldwide...dah...wanawadanganya Sana watu...!Hata utamshi wa maneno ni hovyo!.......Halafu hawajatulia mapepe na kuchekacheka ....!

pale abaki Jonijo tu!
madhara yakutokusoma script hayo, unaenda studio kupumzika tu wakati unaenda on air
 
ukisema shoo kubwa inaingiza Revenue kiasi gani kwa mwezi..?
Kwani mm ndo ninaetangaza hko kipindi au.....?
Hizo seagga ndo znawavutia vijana mzee kila kitu na zama zake au ww unataka aanze kusema wapenz waskilizaji mko shega...?

yess BiShoo haswaaAaa
 
Sijui ni umri au majukumu mbina na pitwa na vitu kama hivi. Niwe mkweli tu Mimi huwa naskiza redio asubuhi tu pb ya kina kipanya. Wakishaperuuz n kudadiiiiz na zima na redio michezo huwa naskiza SAA 2 usiku tena in habari hapa nyumbani tu na mchambuzi wangu mkubwa akiwa ni Tigana Rukinja
Tigana Lukinja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa wa Block 89 ya Wasafi wanaongeaga vitu vingi sana hawavijui! Too much lies! Story za Kobe (wao wanamuita Kobe na sio Kobi) zimepotoshwa sana kuhusu basketball. Most of them are overrated.

Who's the Program Manager?

Maoni ya mtu mmoja anayeamini kila mtu ana maoni kama yake.Usichokipenda wewe usikitie hila kuna watu wengi wana kipenda hicho kipindi.

Hamna aliyeanza na kutembea,kitendo cha kipindi kuwa na wadhamini jua kuna watu wanakisikiliza wengi tu na kipindi chenyewe hakina hata mwaka,bado wana muda wa kujifunza.

Wameanza na akina Maulid Kitenge,mkaponda "ahhaaaa wale watachemka kuwalipa,siku hizi vipindi havina wadhamini matangazo hamna",haya wame amua kuanza na akina Jonijo "ahaa hawajui kitu wale",sasa sijui wafanye nini?

Hata hao mnao waona wanafanya vizuri sasa hivyo,wanzoni walikuwa hovyo,womejifunza kupitia akina Majizo,John Dilinga,Aboubakar Sadiki,Misanya Bingi nk.Sasa hivi ndio wapo vizuri.
 
Back
Top Bottom