Wasafi.com kufanya kazi rasmi

Scorpio Me

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
6,119
7,933
Habari mashabiki zetu pendwa,

Tunayo furaha kukupa habari njema ya kwamba kuanzia sasa @wasafidotcom ndio sehemu rasmi na pekee ya kuweza kujipatia nyimbo za wasani wako wote pendwa toka hapa nchini Tanzania na nje ya Tanzania.

Lengo kuu la kuanzisha mtandao huu ni kuweza kuwarahisishia mashabiki na wadau wa mziki wetu muweze kujipatia kazi za wasani wenu zikiwa zina quality ama ubora sahihi, kirahisi na haraka lakini pia kutusapot vijana ama watoto wenu nasi tuweze kuendelea kuwatengenezea kazi zenye ubora zaidi.

Lakini pia sababu nyingine ya kuamua kuanzisha mtandao huu ni jinsi mlivyokuwa mnatusapoti vijana wenu kwa kununua kazi zetu halafu mwisho wa siku baadhi ya wamiliki wa mitandao wakawa hawatupi haki zetu tunayostahili, yaani wakawa wanatudhulumu na kunufaika wao huku sie wasanii wenu tukiishia kuambulia umaarufu wa majina ila maisha yetu halisi "pangu pakavu" hii ilituumiza na kutuliza sana, karibu miaka yote.

Kwenye mtandao huu wa @wasafidotcom tumeeka njia mbalimbali rahisi za kununua nyimbo, kupitia account ya simu yani Mfano: Vodapesa na mitandao yote ya simu Afrika, na pia kununua kwa njia ya Card ya Benki mfano: Master Card, Credit card, Visa card na njia zote za kibenki.

Matumaini yetu kuwa mtatusapoti kwa kununua kazi zetu @wasafidotcom na panapo majaaliwa kwa mara ya kwanza Ijumaa ya kesho @Harmonize ataachia wimbo wake mpya uitwao [HASHTAG]#NAMBIE[/HASHTAG] na utakuwa unapatika @Wasafidotcom tu nitasikitika sana sana nikiona ama kusikia shabiki yetu wa damu ama mpemda muziki, anakuwa mtu wa kwanza kuomba kutumiwa nyimbo kwa bloototh ama Watsup badala ya kuingia @wasadidotcom kudownload.

Kesho hiyohiyo pia kutakuwa rasmi na App pamoja na nyimbo za wasanii wengine zaidi uwapendao @wasafidotcom#WhereTheHitsBelong! Mimi nimewaekea ngoma zote za tangu kale na zingine ambazo hamjawai kusikia, follow account rasmi ya @wasafidotcom ubonyeze link kwa bio ukapakue nyimbo uzitakazo.

f8dcf8f0246cf6695cd1a846620031f1.jpg

Says Diamond Platnumz.
 
Big step towards successful.
 
Back
Top Bottom