Wasabato ujumbe wenu huu hapa

Status
Not open for further replies.
Mkuu ZionGate nimepunguza pilika na niko kwa njia kuelekea home!

Naam! Kuna Maswali niliyaacha kiporo! Kwanza sijui lile la kuhusu chakula limeeleweka au Bado?
Bado haijaisha mkuu,nasubiri mistari niliyokupa ukasema utaipitia
 
Last edited by a moderator:



Mkuu Sayuni Ebu nisaidie ni wapi tumetoa kashfa kwenu? Au kusema ukweli ndio imekua kashfa?

Kwa mfano sisi hapa tangu mwanzo Wa mada tumekua tukitoa hoja kwa ushahidi Wa maandiko! Sasa hizo kashfa ziko wapi?

Mfano mwingine nyie mnasema uongo juu yetu kwamba hatuamini Ktk Roho na wakati sisi Wasabato tunaamini Ktk UTATU yani Mungu baba, Mwana na Roho, Mbona sisi hatulalami eti mnatukashifu?

Mnasema uongo tena kwamba wasabato hawatambui agano jipya na wakati sisi tunatambua maagano yote na biblia yote na ndio tunatumia makanisani Kwetu! Mbona hatulalami Km mnatukashifu?

Sisi ni kusema ukweli tu, Iwe juu yetu au juu yenu! Na tunatumia maandiko kujibu hoja Na si maneno tu!
 
Mkuu ZionGate nimepunguza pilika na niko kwa njia kuelekea home!

Naam! Kuna Maswali niliyaacha kiporo! Kwanza sijui lile la kuhusu chakula limeeleweka au Bado?

Mkuu ntuzu nami nishaingia hapa, huyu ZionGate aangalie page 29 kuna swala la 1 Wakorintho 10:25 vyakula sokoni nimelijibu hapo kama ndo itakuwa shida yake!
 
Wapendwa Ntuzu, Basluma Original, Blueband na wengineo naomba mpitie haya mafungu... Kama watu hawawaelewi basi achaneni nao.....

Tito 3:9 " Laki maswali ya upuzi ujiepushe nayo na nasaba na magomvi na mashindano ya sheria kwa kuwa hayana faida tena hayana maana...

Mithali 15:28 "Moyo wa mwenye haki hufikiri jinsi atakavyojibu; Bali kinywa cha wasio haki humwaga mabaya."
 
Last edited by a moderator:
Hapa mtoa mada hajui anachokiongea fuatilia biblia na uishi kwa neno aliloagiza mungu siyo kufanya mikusanyiko ya vilio na kupayuka hovyo makanisani
 

Tatizo linakuja pale Wasabato mnapolazimisha watu waamini mnachoamnini kuwa ndio kweli....

Mara nyingi nimemwambia ndugu yangu Ntuzu kuwa 'kweli kwake yaweza kuwa siyo kweli kwangu daima mpaka naingia kaburini...' kwahiyo asipende kulazimisha....

Wacha sisi tuone wenyewe na ku-appriciate sio kulazimisha.....

"speech is Silver but Silence is Gold"...Pope Francis
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…