capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,268
Ahsante sanaPamoja sana
Ahsante tuendelee kupeana taarifa kuhusu mikutano hii.Kila la heri kwa tutakao fuatilia
Hujui unachozungumza.Katika vituko vya mafinzo ya afya utasikia sasa tunamkatibisha dokta afundishe somo.la afya
Atakayesimama kufundisha unakuta hajawahi kanyaga hata chuo cha afya akapata cheti hata cha kugawa dawa anaitwa dokta na wasabato
Nakijua sana walimu wa afya wa kisabato ni akina Doctor Ndodi na watu wa aina hiyo hawajawahi kanyaga chuo chochote cha udaktari utasikia sasa tunamwita dokta au mtaalamu wa afya.alete somo la afyaHujui unachozungumza.
Yehoyadaya hamchoki tu kupotosha watu,mpaka huku upo!So unataka kuaminisha wapumbavu kwamba mifumo ya elimu your "handlers" waliyoibuni ndio sahihi?Sio kweli,mifumo wa elimu iliyopo ambayo umebuniwa na the NWO Cabal a.k.a Khazarian Mafios, ni mifumo wenye nia ovu ya enslavement and domination.Ofcourse siwatetei Wasabato,nao wana mapungufu yao,lakini katika madhehebu yote,SDA is the best.Nikiambiwa nichague out of the two evils,madhebu mengine na Wasabato,nitachagua Wasabato.Katika vituko vya mafinzo ya afya utasikia sasa tunamkatibisha dokta afundishe somo.la afya
Atakayesimama kufundisha unakuta hajawahi kanyaga hata chuo cha afya akapata cheti hata cha kugawa dawa anaitwa dokta na wasabato
Nyie ni wakristo, waislamu au wayahudi?Wa-adventista huwa tuna series ya mafundisho katika platform zetu tofautitofauti
Ikiwemo YouTube, Hopechannel Tanzania Tv na radio.
Tulianza na NYUMBANI HATIMAYE, UHURU HATIMAYE na sasa tuko na NYAYO ZA MATUMAINI. Napenda masomo haya na mpangilio wa hotuba hizi sababu hugusa changamoto za kimaisha, kimazingira, kijamii, kiuchumi na nyingine nyingi tunazo kumbana nazo kila siku.
Katika mafundisho hayo tunajifunza kuhusu AFYA, FAMILIA na Mafundisho ya kiroho yanayokusudia kuboresha mahusiano yetu sisi na Muumbaji wetu.
Pr. Semba anafundisha somo kuu.
View attachment 2622514
Pr. Peter anafundish familia na mahusiano
View attachment 2622509
Dr. Kilonzo yeye anafundisha Afya.
View attachment 2622515
Hii ni summery ya siku zilizopita.
Siku ya kwanza:
Somo la afya muda 19:23 muda katika video
Somo la familia muda 43:47 muda katika video
Somo kuu- Muda 1:08:26 katika video.
Siku ya pili:
1:19:06 - Muda somo la Afya linaanza katika video
1:41:40 Muda somo la familia linaanza katika video.
Somo kuu- Muda 1:08:03 katika video.
View attachment 2622521
Mwisho, nawakaribisha wote tujifunze neno la Mungu pamoja. Ahsante
.Amina na asante...
[emoji114][emoji114][emoji114]Vipi Mkuu? wangatala
Tufanye ni kweli je maudhi yanakataa ama yanaendana na wataalam??Katika vituko vya mafinzo ya afya utasikia sasa tunamkatibisha dokta afundishe somo.la afya
Atakayesimama kufundisha unakuta hajawahi kanyaga hata chuo cha afya akapata cheti hata cha kugawa dawa anaitwa dokta na wasabato