Wasaa mzuri kwa wadada mliobahatika kuolewa tu

Eddy Love

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
13,654
8,553
Msingi Wa Mafanikio Na Ndoa Imara Ni Mwanamke, familia Inawezakuwa Na Mwanaume Wa Hovyo Lakini Mwanamke Akiwa Imara Familia Hiyo Itasonga Mbele Lakini Familia Ikiwa Na Mwanamke Wa Hovyo Hata Familia Pia Inakuwa Ya Hovyo Wala Haiwezi Kufika Popote.

Wanawake Ndio Wenye Usukani Wa Ndoa Mkiamua Kuendesha Kwa Umakini Lazima Gari La Familia Lifike Salama.Tumieni Nguvu Hii Mliyopewa Na Mungu Kujenga Familia Imara Zenye Mafanikio
 
MU
Msingi Wa Mafanikio Na Ndoa Imara Ni Mwanamke,familia Inawezakuwa Na Mwanaume Wa Hovyo Lakini Mwanamke Akiwa Imara Familia Hiyo Itasonga Mbele Lakini Familia Ikiwa Na Mwanamke Wa Hovyo Hata Familia Pia Inakuwa Ya Hovyo Wala Haiwezi Kufika Popote.Wanawake Ndio Wenye Usukani Wa Ndoa Mkiamua Kuendesha Kwa Umakini Lazima Gari La Familia Lifike Salama.Tumieni Nguvu Hii Mliyopewa Na Mungu Kujenga Familia Imara Zenye Mafanikio
Mungu akubariki Eddy,ujumbe mzuri sana laiti kama wake zetu wangejua haya dunia ingekuwa sehemu nzuri sana ya kuishi.
 
Kwakweli Ni Kuomba Mungu Sana Ili Kupata Mke Mjenzi Wa Familia
 
Kweli kabisa na ndio inavyokuwa siku zote.

Hongera kwa kukumbusha ili wasio jua wapate kujua.
 
Msingi Wa Mafanikio Na Ndoa Imara Ni Mwanamke, familia Inawezakuwa Na Mwanaume Wa Hovyo Lakini Mwanamke Akiwa Imara Familia Hiyo Itasonga Mbele Lakini Familia Ikiwa Na Mwanamke Wa Hovyo Hata Familia Pia Inakuwa Ya Hovyo Wala Haiwezi Kufika Popote.

Wanawake Ndio Wenye Usukani Wa Ndoa Mkiamua Kuendesha Kwa Umakini Lazima Gari La Familia Lifike Salama.Tumieni Nguvu Hii Mliyopewa Na Mungu Kujenga Familia Imara Zenye Mafanikio
Wanawake walio wengi wanakuwa imara lakini waume nanyi mbadilike mwanaume unakuwa kitombi kama nini nyumbani huwajibiki mke anahangaika wewe kutwa na pichu cha wanawake mke ajenge na nani nyumba ijengwe na wote sio visingizio mwanamke mpumbavu hata wanaume wajinga hushindwa kujenga nyumba zao
 
Ni Kweli Unenacho Ila Mhimili Mkubwa Wa Familia Ni Mama Hata Kama Baba Ni Mlevi,mshenzi Lakini Mama Bado Atahakikisha Watoto Wake Anawalea Vyema
 
Back
Top Bottom