nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 12,812
- 14,405
Asingekuwa na sigara mkononiKwa mimi nilivyoona ni suicide.
Asingekuwa na sigara mkononiKwa mimi nilivyoona ni suicide.
Hii ni Accident ameteleza akapiga kichwa kwenye ncha ya ukuta .....Alikuwa anaandika ... mezani ...akasikia kuna kama mtu anamyatia kwa nyuma...katika kujihami akageuka ghafla..... akateleza na kupiga kichwa kwenye ncha ya ukuta.Seen endless conv somewhere trying to relate the scene with possible causes of death. What do u think, was this murder or suicide?
View attachment 339973
kwa kishindo cha nguvu cha kuanguka chini baada ya kujipiga bado anaweza kuwa ameshika tu sigara ambayo ni nyepesi kuanguka?Seen endless conv somewhere trying to relate the scene with possible causes of death. What do u think, was this murder or suicide?
View attachment 339973
huyu victim kapigwa risasi akiwa amekaa kwenye hiyo stuli iliyoanguka ama alikuwa kasimama straight na miguu yake? kama alijipiga risasi akiwa amekaa kwenye stuli damu zisingeweza kuruka na kujaa kwa kiasi kile pale dirishani. jaribu kurudisha hiyo stuli mahali pake bila kuyumba kisha muweke huyo victim hapo utaelewa ninachomaanisha...........Seen endless conv somewhere trying to relate the scene with possible causes of death. What do u think, was this murder or suicide?
View attachment 339973
kaka hii ni topic moja fikirishi sanai am no forensic scientist
Nimependa ulivyofikiri, umeangalia mbali zaidi..Hii ni Accident ameteleza akapiga kichwa kwenye ncha ya ukuta .....Alikuwa anaandika ... mezani ...akasikia kuna kama mtu anamyatia kwa nyuma...katika kujihami akageuka ghafla..... akateleza na kupiga kichwa kwenye ncha ya ukuta.
N.B.
Vitu kuparanganyika vimesababishwa na ile speed ya kuifuata silaha ilipo ili kujihami
i love your analysisMURDER.silaha mkononi imeshikwa vice versa which indicates aliwekewa baada ya tukio.sigara mkononi yaonyesha hakua "amejiandaa" kufa/kujiua au nayo aliwekeewa baada ya kuuawa.na pia kutoka kiti kilipo hadi damu na usambaaji wake ukutani inawezekana hata silaha iliotumika sio hiyo alioshikishwa kwa kugeuziwa mkononi...ni kama ilitumika kubwa zaidi na kutokea mbali hakua aware.....am no expert,just analysing the scene
Kama Ingekuwa murder asingekuwa amerelax mpaka kushika ivo sigara maana gun Ingekuwa ya kujihamiMurder
-Gun ipo mkono wa kulia na alikua amekaa kutazama dirishani (Kulingana na alichokua anaandika) angejipiga mwenyewe doa la damu lisingetokea ukuta wa kulia
Kama Ingekuwa murder asingekuwa amerelax mpaka kushika ivo sigara maana gun Ingekuwa ya kujihami