Was Jesus Black?

Was Jesus Black or White?


  • Total voters
    127
Yesu alikuwa black. Mambo mengi yalibadilishwa na wazungu kwa hila.
 
tahit said:
By making conscious contact with God you will come to know the power of that source and you will use that power to attract any thing in your life. so if you wanna know who is GOD i suggest you better take your time to make conscious contact with God

You haven't answered my questions
You have jumped to recommendation instead

Which kinda god you're talking about?
GOD IS THAT ONE FORCE IN THE UNIVERSE WHICH IS IN DIVISIBLE IT IS ONLY ONE FORCE ONE POWER THAT U CANT DIVIDE

The only experience that u can have in your physical world which is in divisible is a matter of silence ...

So 'divisible force' is true essence of your Godhead?

Is your god nothing more than inanimate-divisible-power?

'God force' is only kind of force which is divisible?
What about the rest,Electroweak for instance?
 
hawa ni baadhi ya waafrika wanaojisikia inferior kwa rangi yao sasa wanataka kuifanya kuwa ina umuhimu kwa kutafuta watu muhimu wawe na rangi yao. mimi naipenda rangi yangu kwa kuwa ndo nliyo nayo na sihitaji niseme yesu alikuwa mweusi ili sasa ndo nitembee kifua mbele.
ni upumbavu kumkubali mtu kwa sababu ya rangi hata wazungu wakifanya hivyo watakuwa wajinga. Yesu alikuwa mweusi then wazungu ndo wakaja tena kutupa habari zake so kama wameamua kumfanya awe mweupe hilo mi sioni limeongezea nini. ni kama leo hii tunapobishana obama mweusi au mweusi watatuona ni kituko kwa sababu awe mweus au mweupe inatusaidia nini sisi?
waafrika wengi huwa hawawazi mambo ya msingi. wanawaza kuonewa,kuwa wanyonge... na kujikuta hawavumbui kitu wao ni kulalamika kuhusu wazungu miaka na miaka. huu ndo utajiri wa mwafrika kulalamika na kulaumu miaka yote.hawatafuti ufumbuzi...ukiwasikiliza hata akina mugabe utasikia tu wanalalmika kwnye hotuba zao. hawana solutions.



Kama ni kweli alikuwa ni mtu mweusi ina maana alikuwa ana asili ya kwetu Afrika, sasa iweje hatukumjua mpaka Mtu mweupe alivyokuja kututambulisha kwetu? Kama angekuwa kweli ni wetu si tungemjua tu tangia mwanzo tena kabla ya Mzungu?
wa
 
Kwaio we umeacha kuamini ukrisro kisa wazungu! Duuh kweli duniani kuna mambo kwaio wazungu ndo walibeba msingi wa imani yako yote?
 



Umeongea jambo la maana, ni kama huwa najiuliza kila siku ni kwa nini hapa kwetu utakuta watu wanalalamika kwamba kwa nini Wahindi hawataki kuoa/kuolewa na sisi lkn sijawahi kukutana na Muhindi au mwarabu akilalamika kwamba Waafrika hawataki kuolewa na Wahindi, sasa ni kwa nini?
Ni kwa nini kuoa Muhindi au Mwarabu iwe muhimu kwetu? Inatuongezea nini?

Ni kwa nini sisi ndiyo tunalazimisha kutaka kuoa kwa watu wengine wakati wao wala hawana hiyo shida?

We angalia Wahindi wako vizazi vingapi hapa TanZania? Vingi tu lkn mpaka leo hii wanaongea Kihindi/Kikwao mtoto wa Kihindi anazaliwa Kariakoo anakulia Kariakoo lkn anaongea Kihindi chote, Mwafrika mweusi mwenzetu anazaliwa TZ anakulia TZ kesho anakwenda Marekani akirudi likizo hajui Kiswahili, anwaona tayari Watz wote washamba yeye ndiyo mtaalamu wa kunywa wine, yeye ndiyo mtaalamu wa kukosoa kila kitu anataka Raisi wa TanZania ghafla awe kama Obama na hapo wala siongelei mambo ya vizazi kama Wahindi sasa watu wa aina hii kama yetu uliiona wapi tena Dunia hii?

Tunawezaje hata kuja kuendelea na kushindana kwenye Dunia iliyojaa ushindani kama hata hatujithamini?

Leo hii utasikia Waafrika wanasema Bora Mchina klk Mzungu atutawale sasa kwa nini hata tutawaliwe? Ni kwa nini isiwe bora sisi tujitawale?
 
KWASABABU WEWE NI WA MWILINI HUWEZI KUYATAMBUA MAMBO YA ROHONI WARUMI 8, PIA UPO GIZANI HUWEZI ELEWA VYA NURUNI

Sawa mimi ni wa mwilini hivyo siwezi kuyatambua ya rohoni

Sasa wewe umeyatambuaje ya rohoni wakati wewe mwenyewe ni wa nyama na damu kama mimi?
 
Kwa maelezo haya inaonekana kuthibitisha ili jambo lilikuepo na lilitokea ila labda useme wazungu walibadilisha wahusika baadae kutokana na mawazo yako! Nimependa ulivyo unganisha matukio kuthibitisha ukweli ulioandikwa kwenye biblia...kama ungekua ni uongo na hilo jambo halipo husingesema wakristo wamebadilishiwa wahusika baadae,kwani kwenye kitu cha kusadikika wenzako unaowanukuu wasingefuatilia swala la rangi ya Yesu kwani ni kitu cha kusadikika kwanini wautafute ukweli wake????
 
Enstein, sasa hawa wahindi wanaoabudu wanyama inakuwaje? Embu nifungue kwenye hili?
 

Ndo umeandika nini sasa?

Maandiko ndiyo yanayothibitisha uwepo wa yesu?

Huu uzi unawataka watu watafute asili halisi ya hizi dini na historia ya mtu mweusi sio rangi
 

Umetoka kwenye hoja unaanza kuhubiri,vipi?

Jibu swali langu kwanza!
 
Ndo umeandika nini sasa?

Maandiko ndiyo yanayothibitisha uwepo wa yesu?

Huu uzi unawataka watu watafute asili halisi ya hizi dini na historia ya mtu mweusi sio rangi
Mkuu mbona unajichanganya??? Kama hukisema maandiko hayathibitishi uwepo wa Yesu weusi wake na weupe wake umekujaje sasa!!!!
 
nashukuru umeyaona matatizo ya MIAFRIKA MINGI Yalivyo. miafrika inapoteza muda mwingi kwa kuwaza vitu vya kijinga tu. hayo unayo yasema ni kweli. kuwa weusi wanalalamika kuwa wahindi,waarabu hawatak kuolewa nasi...unajiuliza sisi la msingi kwetu nikuoa wahindi na waarabu?
sasa huyu mwingine kaona hiyo haitoshi kaja na theory kuwa yesu ni mweusi so kama alikuwa mweusi yeye inamsaidia nini? ni ule ule utumwa wa rangi.unachosema ni kweli wahindi wapo hapa miaka na miaka hawazungumzi kiswahili ila wanazungumza kihindi na kiingereza. kwa nini? kwa sababu washaona sisi ni watu ambao wenyewe tu hatujikubali na tuna udhaifu. udhaifu huu tunauonesha mpaka kwa wengine.
kulazimisha yesu alikuwa mweusi au mweupe sisi kwetu haina tija hata kidogo. tuangalie tunajikwamua vipi kwenye umaskini na utegemezi.
tunakaa hapa wapuuzi wanatuletea habari za rangi. mwingine alianzisha thread kuwa pyramids zilijengwa na mtu mweusi. nikasema sawa. kwa hiyo sasa? tufanyeje?
 
Rangi ya Yesu haimsaidii chochote mkristo kwani hata biblia haijataja rangi ya yesu ni ipi ila imetuambia ametokea katika ukoo wa yuda ambao ukoo huu tunajua ulichanganyika baada ya suleimani kumuoa malkia wa sheba... na hata zile picha hazina uhalisia ya mwonekano halisi wa Yesu kristo...msingi wa ukristo ni mafundisho ya kristo sio rangi yake !
 
Unasema yesu kulia. yesu yupo wapi hapo? kumbe hata uwezo wako wa kufikiri upo limited sana. mi sijawah ona picha ya yesu nimekuuliza wewe uliiona wapi picha ya yesu? hujanijibu hilo swali. miaka yangu yote sijui picha ya yesu ikoje wewe mwenzangu unayo au ulipewa sehemu?
mimi sijui rangi ya yesu na hata nikiijua hainihusu kwa kweli maana rangi yake si yake bwana....mi inanihusu nini? asili. unataka kujua asili. haya wazungu wanasema binadamu alitokana na nyani we unasemaje? au kwa upande huu nako unasemaje?
 
Mkuu mbona unajichanganya??? Kama hukisema maandiko hayathibitishi uwepo wa Yesu weusi wake na weupe wake umekujaje sasa!!!!

Una upeo mdogo sana wa kuelewa

Waebrania ambao inasemekana ndiyo chimbuko halisi la Yesu walikuwa ni Blacks

Hio ndiyo point ya msingi na dhima kuu ya huu uzi

Hoja ya yesu kuwepo au kutokuwepo haina mashiko

Kuna option moja tu

Kama alitokana na kizazi cha hebrews basi atakuwa mweusi tu kwasababu hebrews wenyewe walikuwa weusi

Na nimetumia maandiko ili kuwaelewesha wakristo ambao hawatoamini maneno yangu

In the nutshell I was arguing if I'm one of them
 

Pumba tu

Kumbe hata uzi wenyewe haujaulewa

Unajua maana ya Depict?
 
Kama we ni masikini usifikirie kuwa watu wote ni masikini, na kwasababu hiyo anzisha thread yako ujadili huo umasikini na angalia jinsi ya kutatua shida zako na sio kuja kulia lia hapa. Usisahau kuwa sio kila kitu ni kwa kila mtu hivyo ukiona hapa hapakufai unaweza kuendelea na mambo mengine.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…