Warumi nani mwenye taarifa zake siku ya tatu simuoni humu na jukwaa limepoa sana mod tunaomba npe ban mim badala ya @warumi mumrudishe plc
Mpaka jana alikuwepo mida fulani hivi,naona watu wengine wanatafutiana ban tu.
Alisha pigwa ban
Mpaka jana alikuwepo mida fulani hivi,naona watu wengine wanatafutiana ban tu.
Warumi namkubali sana ila tatizo lake hana uvumilivu hata kidogo!! Unaweza ukamhoji kitu kwenye sredi yake kwa nia njema tu ye sijui anaelewa tofauti daah! Jibu atakalokuja kutoa huko ni hatari tupu na akikutana na wale wasio na subira kama yeye ndo anakwenda kifungoni!
Kifupi Warumi ana watu wake!! We kama siyo mtu wake ukajipendekeza kwenye uzi wake umekwisha
Kuna watu wengine dawa yao kuwavurumushia mvu a ya matusi ili wajue limits
Unakuta jitu linatoka lilikotoka hata kuchamba halijachamba linaanza fyokofyoko
Kuna watu ni mabigwa wanakurupuka na matusi yao sijui.huwa wamepga vitoba cha msingi ni kuwa ignore tu hata aki ku quote una mwacha
warumi ni mfungwa sugu ..
Kama ni jela basi hadi guentanamo angekuwa kapita.!!
Hahaaa eti wamepiga viroba...mtu kakurupuka unashangaa huyo unakaa kujiuliza huyu nae katokea wapi....
Mie wa kunijia hivyo wala simuachi..kuna mmoja huyo ndio nilishamweka kwenye Ignore list..
Tatizo watu wanamuattack sanaa...yani mpaka anashindwa kutofautisha kati ya swali la kawaida na uchokozi....!