Frank Wanjiru Platinum Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,752 Reaction score 47,084 Nov 3, 2017 #41 Dawa ya chuma ulete hiyo.
njeeseka JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 1,374 Reaction score 985 Nov 3, 2017 Thread starter #42 kayihula said: Acheni kuzingua bhana mi hapa nimekaa nawaza Noah tuliyo ahidiwa,nyie mnakomaa na chinji Click to expand... Ha ha haaa
kayihula said: Acheni kuzingua bhana mi hapa nimekaa nawaza Noah tuliyo ahidiwa,nyie mnakomaa na chinji Click to expand... Ha ha haaa
njeeseka JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 1,374 Reaction score 985 Nov 3, 2017 Thread starter #43 Frank Wanjiru said: Dawa ya chuma ulete hiyo. Click to expand... Ipi kaka fafanua...
bigmind JF-Expert Member Joined Oct 28, 2015 Posts 12,457 Reaction score 12,714 Nov 3, 2017 #44 Evelyn Salt said: Naziomba hizo hela Click to expand... Wewe nae na mururu wa pesa, ata pesa mbovu..
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,189 Reaction score 128,283 Nov 3, 2017 #45 Hela za TZ ndiyo chafu hivyo?
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,872 Reaction score 172,595 Nov 3, 2017 #46 bigmind said: Wewe nae na mururu wa pesa, ata pesa mbovu.. Click to expand... Mi hata hiyo mbovu sina
bigmind said: Wewe nae na mururu wa pesa, ata pesa mbovu.. Click to expand... Mi hata hiyo mbovu sina
njeeseka JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 1,374 Reaction score 985 Nov 3, 2017 Thread starter #47 Daudi Mchambuzi said: Hela za TZ ndiyo chafu hivyo? Click to expand... Unatumia dola nini? Au mkwala tu
Daudi Mchambuzi said: Hela za TZ ndiyo chafu hivyo? Click to expand... Unatumia dola nini? Au mkwala tu
ukhuty JF-Expert Member Joined Oct 9, 2016 Posts 16,906 Reaction score 42,079 Nov 3, 2017 #48 princess ariana said: hivi muda wa kuchunguza mpangilio wa chenji unautoa wapi? Click to expand... hata mim nimejiuliza hilo swali
princess ariana said: hivi muda wa kuchunguza mpangilio wa chenji unautoa wapi? Click to expand... hata mim nimejiuliza hilo swali
njeeseka JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 1,374 Reaction score 985 Nov 3, 2017 Thread starter #49 ukhuty said: hata mim nimejiuliza hilo swali Click to expand... Kama huna pesa kuchungulia ulicho nacho ni kawaida sana. Nidhamu ya matumizi inaanzia kujua umebakiwa na tsh ngapi. Enzi zile za "keep change" hata hujui mfuko una tsh ngapi sio huu. Hizi zama za Magu......refer mwana FA
ukhuty said: hata mim nimejiuliza hilo swali Click to expand... Kama huna pesa kuchungulia ulicho nacho ni kawaida sana. Nidhamu ya matumizi inaanzia kujua umebakiwa na tsh ngapi. Enzi zile za "keep change" hata hujui mfuko una tsh ngapi sio huu. Hizi zama za Magu......refer mwana FA
princess ariana JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 9,686 Reaction score 19,365 Nov 4, 2017 #50 ukhuty said: hata mim nimejiuliza hilo swali Click to expand... [emoji23] [emoji23]