Warning:

Warning:

engmtolera

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
5,149
Reaction score
1,441
The negative rating for U.S. debt will cause serious harm to the U.S. economy, the stock market and the dollar. The economist who predicted this downgrading is warning of another market crash.

[h=1]Jim Rogers: 'Bankrupt' U.S. Will Never Pay Its Bills[/h]
 
duu utasikia wanabadili mfumo na kukandamiza wanyonge...
 
duu utasikia wanabadili mfumo na kukandamiza wanyonge...

tatizo jamaa wanakopa sana na mchina amekuwa mjanja juu ya hilo,kwani ameweka madola yake USA na usa wanazitumia wakizani ni zao,mwisho wa siku madeni yanaongezeka na kulipa inakuwa taaaaaaabu
 
tatizo jamaa wanakopa sana na mchina amekuwa mjanja juu ya hilo,kwani ameweka madola yake USA na usa wanazitumia wakizani ni zao,mwisho wa siku madeni yanaongezeka na kulipa inakuwa taaaaaaabu

Mkuu sijakupata hapo, mchina kawekaje hela yake USA? Tafadhari fafanua
 
engmtolera what we suppose to do now?buy more us dollars and keep them?

Back
Top Bottom