Warning to all men

Joh makini mwenyewe kaimba anata demu mpenda pesa ili aweze tafuta zaidi ma zaidi..
 
labda nijenge nyumba kwaajili ya biashara ya maana.........

ila kujenga jenga bila mpangilio ni kuharibu mtaji wa kufungulia biashara mpya.
 
Raha ya mke ni matumizi, hebu acheni kupotosha vijana.
Sasa wewe usinunue, halafu utajiju kumuona bibi anavaa! Jumamosi nilipita angle flani hivi, nikashuhudia Bakari mwapachu anaitwa baby, kidogo nizirai na kukata kauli
 
aahahahahahaha ngoooja kwanza Bakari naaaaani?
 
mtoa mada una hela za mawazo diha! kwanza nikuhakikishie kwamba vyumba utajenga kabisaaa. lakn mwsho wa cku utakosa mke/mpnz milele 7bu ya ubahili. mtakaofata ushauri ujenzi mwema jaman..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…