Warning to all men


Hahahahhahaa inakuaje wewe umejitoa kwenye kundi la mabazaz halafu ukaniweka mimi nisiyestahili?
 
Last edited by a moderator:
fanyeni hayo yote, ila wakumbukeni wazazi wenu mliowatelekeza kule vijijini!

kijana unamiliki Iphone 5 ama galaxy s4 wakati huo huo mama yako anaishi kwenye nyumba ya nyasi tena mvua ikinyesha inabidi akeshe kwenye pembe ya mlango kama mchawi vile! asubuhi kukikucha huyo huyo hajui hata mlo wake aupangilie vipi!

nduguzo hata kuwakumbuka mara moja kwa mwaka inakuwa shida sana, unakalia tu watoto wa kike ambao ni luxuriousness ya muda tu.. pesa zikiisha, wanakusonta na kukudekisha!

jijengeeni msingi vijana, sio kesho na keshokutwa mnakuja kuzaa watoto wa mbwa mwitu..!
 
Tunza hela ikuzoee au tumia??

Unapotumia unaiondoa kwako
Unapotunza inakaa kwako

Ni kipi kinazoea kati ya kinachokaa na kuondoka??
swali zuri sana mkuu!!
 
 

hiyo ndo habari yamjini... sisi tulitoka kwenye ubavu wenu ni wasaidizi na nitegemezi vilevile..... hata mbishe kupenda kunaenda na kutoa ... kama ni mkristo neno la Mungu linasema wanaume pendeni wake zenu... na wanawake waheshimuni waume zenu,.... sasa kupenda kunaenda na kutoa kwa hiyo si jambo la ajabu kupewahela na mwananume... tena kwa miminapokea na ninahesabu umenipa ngapi kama hazitoshi nasema kuwa dear hazitoshi niongeze.. kama zinatosha nitakwambia thanks baby
 
Mtatumalizia ngozi zetu jamani jamani jamani.
 
hahahahaha
ukiombwa na wewe usiwe mgumu kutoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…