Warioba Tume yake inanipa mashaka

Serikali nne ndo suluhisho: Tanganyika, pemba, Unguja na Muungano. Hakutakuwa na Uhasama kabisa mbele ya safari.
 
Serikali nne ndo suluhisho: Tanganyika, pemba, Unguja na Muungano. Hakutakuwa na Uhasama kabisa mbele ya safari.

Maneno haya ndiyo muliyokaririshwa na Baba yenu Nyerere kwa UJINGA wake na hadi leo bado munaendelea kuyaamini!!! Kama ni hivyo inawezekana Muungano ukivunjika kutakua na Serikali zaidi ya nne pia usisaha na Mikoa ya Kusini, Kaskazini, Nyanda za juu na huko kwenu huenda mukawa na Serikali za Makabila! Kwa nini hili hamulisemi.?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom