WARIOBA: Msimtumie Nyerere kama hirizi

WARIOBA: Msimtumie Nyerere kama hirizi

Tukipunguza sauti na kuongeza logic His Highness Warioba is very right. Kama for instance Tanganyika itaungana na Msumbiji kwa kuwa zote ni cnhi huru - kutakuwa na serikali kama ifuatavyo
1. Serikali ya Msumbiji
2. Serikali ya Tanganyika
3. Serikali ya Shirikisho -- Msumbitanga??

Na popote iwapo Msumbiji itatambulika kama Msumbiji na iwapo Tannganyika kama Tanganyika. Sasa hii ni logic na ukweli wa mambo. Hata mtoto mdogo ukimwuliza atakuambia hii ndio sahihi.

Sasa kwa serikali mbili basi nchi moja haina serikali mathalan Tanganyika haina serikali bali Zanzibar inayo.

Nikipunguza sauti na kuongeza logic Muungano uliopo ni wa kimagumashi na ndio maana Warioba anajaribu kutatua ili wajukuu zetu wasijetucheka ufahamu utakapoongezeka na hapo uasi utakuwa mbaya zaidi. Washiiri husema usipoziba ufa utajenga ukuta. Warioba nataka kuziba ufa na wajinga fulani wanasema huu ukuta uko poa.

IQ ya professor inadidimia. Of course science agrees that IQ declines with age whether a professor or nutty professor.

Tusikubaliane tu kwa kuwa ni professor Warioba pamoja na kwamba hii principal ya IQ is not an exception, yeye ni gifted na ana maono ambayo mboni chache zinaziona, pamoja na timu nzima ya kuweka mapendekezo hayo katika rasimu.

Nawakilisha

Hahahaaa! "Unapunguza sauti unaongeza logic" naichukua hii
 
Back
Top Bottom