tidav
JF-Expert Member
- Mar 31, 2013
- 262
- 40
Hata kutaka Serikali 3 alidanganya ni maoni ya wananchi kumbe waliotaka Serikali 3 walikuwa Kigoma na Kagera tu. Hakuna cha maoni ya wananchi wala nini ila ni vurugu za Warioba tu.
Wewe ulitoa maoni yako kweli mbele ya tume? Hayo maoni unayosema ni ya kigoma na kagera ulikua unaongozana na tume kukusanya maoni? A cha kuzungumzia uzushi au weka vithibitisho sio kuongea tu