Warioba: Msikurupuke kupitisha Katiba Mpya

Warioba: Msikurupuke kupitisha Katiba Mpya

Rasimu ya Warioba, Mbunge asiponekana miezi 6 awe amejifuta mwenyewe Ubunge je Warioba alitaka wabunge waende na madripu bungeni?

Hata kama elimu yako ni kikombe cha kahawa lakini siyo kiasi hicho, Hii hoja Warioba kama warioba siyo ya kwake binafsi ilikuwa ni maoni yetu wananchi.

Unataka aliyekuwa M/Kiti wa ile tume afafanue kwa njia gani kupitia chombo gani ili muweze kufahamu? Wabunge wana mtindo wa kupotea majimboni na kuisha aidha Dar es slaam, wengine Canada, Dubai, Hongkong huko ndiko kwenye dill zao baada ya kupewa ubunge sasa kwani shida ipo wapi?

Hii nchi kila kukiwa na program za kudhibiti viongozi wa umma kujilimbikizia mamali na koo zao ccm ndio kwanza inaendelea na utaratibu ule ule halaf mnataka maendeleo, wapi na wapi??
 
Rasimu ya Jaji Warioba ilikuwa ni ya kibaguzi inapingana haki za raia ya kuchagua na kuchaguliwa kwamba mbunge lazima na elimu ya kidato cha 4 na zaidi? Huu ni ubaguzi na siyo maoni ya wananchi.

Ndio mana munafunga mikataba mibovu ndani ya nchi yenu wenyewe na kubaki watumwa milele na milele wewe unadhan mbunge akiambiwa ajielezee yeye mwenyewe binafsi anakwama kwa elimu mbovu Tz munayotoa sasa darasa la7 ataenda kuchangia nini pale na kujenga hoja vipi? bila ya shaka hufahamu wakati wa sasa tulionao upo upo tu nadhan unaishi kijijini ata bunge hulijuwi unaskia tu piriad.
 
nadhani maana yake ni kwamba mbunge akiwa na elimu angalau ya kidato cha nne anaweza kufafanua makabrasha yanayoletwa na serikali na kuweza kuisimamia serikali ipasavyo. Kama atakuwa hana uelewa wowote atawezaje kufanya kazi zake za kuwakilisha wananchi
Huwezi kusema raia ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa kisha unaweka kipengele cha kupinga hiyo haki kwa kuweka viwango.
 
Eti Rasimu ya Warioba inataka pawepo na benki kuu mbili kwenye nchi moja uliona wapi duniani?
[FONT=Times

Unataka kunambia mapinduzi ya zanzibar kumuondoa sultan nchi yao ikawa huru ni batili? Katiba ipi iliyoandika zanxibar na Tanganyika ni nchi1?[/QUOTE]
Nchi yenye kiti kinachokaliwa UN ni JAMHURO YA MUUNGANO WA TANZANIA na ndiyo yenye haki ya kuwa na benki kuu tu na siyo vinginevyo. Kama unafahamu majukumu ya benki kuu lakini kama hujui ntakuwa najadiliana na fuvu tu ndani yake hamana kitu.
 
hahahahaa kwa hiyo ulieishia std.3 leo unautaka ubunge ndo uone ujabaguliwa acha kufuga tumbo ndo linakuongezea virus vya use*ng
Marehemu Mzee Karume hakuwa msomi alifanya mengi makubwa kuliko waliosoma. Wapiga kura ndiyo wenye haki ya kuamua mbunge wa aina gani wamtakaye siyo Jaji Warioba.
 
Wewe usipo onekana kazini kwako miezi sita unastahili kua mfanya kazi? Mbona kama hufikrii kabisa na ndo kutowajibika huko sasa utakaaje na mbunge akimaliza vikao miezi mitatu Dodoma anapitiliza dar anasubir kikao kingine haonekan mwaka mzima jimboni anamuwakilisha nani nahajui chochote kuhu jimbo lake
Kuna ugonjwa, kuna ajali, na sababu nyingine muhimu mfano wa hivyo.
 
Hata kama elimu yako ni kikombe cha kahawa lakini siyo kiasi hicho, Hii hoja Warioba kama warioba siyo ya kwake binafsi ilikuwa ni maoni yetu wananchi.

Unataka aliyekuwa M/Kiti wa ile tume afafanue kwa njia gani kupitia chombo gani ili muweze kufahamu? Wabunge wana mtindo wa kupotea majimboni na kuisha aidha Dar es slaam, wengine Canada, Dubai, Hongkong huko ndiko kwenye dill zao baada ya kupewa ubunge sasa kwani shida ipo wapi?

Hii nchi kila kukiwa na program za kudhibiti viongozi wa umma kujilimbikizia mamali na koo zao ccm ndio kwanza inaendelea na utaratibu ule ule halaf mnataka maendeleo, wapi na wapi??
Hata kutaka Serikali 3 alidanganya ni maoni ya wananchi kumbe waliotaka Serikali 3 walikuwa Kigoma na Kagera tu. Hakuna cha maoni ya wananchi wala nini ila ni vurugu za Warioba tu.
 
Hata kutaka Serikali 3 alidanganya ni maoni ya wananchi kumbe waliotaka Serikali 3 walikuwa Kigoma na Kagera tu. Hakuna cha maoni ya wananchi wala nini ila ni vurugu za Warioba tu.

Sasa kama ni vurugu za Warioba mbona Watanzania wote ukitoa wale mahafidhina waliojifungia Dodoma wanaikataa katiba? JK juzi amesema watu kila anapokwenda hakuna mwamko wa watu kuipokea katiba mpya na kusema kura isogezwe mbele ili mutafute namna?.

Maoni ya S2 yalikusanywa ni Tume ipi? kwanini Sitta alichakachua kura bungeni kulazimisha thuluthi 2 kutoka Zanzibar? tiririka na hapa kikamilifu.
 
Nchi yenye kiti kinachokaliwa UN ni JAMHURO YA MUUNGANO WA TANZANIA na ndiyo yenye haki ya kuwa na benki kuu tu na siyo vinginevyo. Kama unafahamu majukumu ya benki kuu lakini kama hujui ntakuwa najadiliana na fuvu tu ndani yake hamana kitu.

Ni hila za baba yenu wa Taifa kuifuta Zanzibar umoja wa Mataifa lakini kwanini munaingangania Zanzibar wakati wamesema waziwazi hawataki muungano? Tafsiri ya mkataba wa muungano Zanzibar iliungana na Tanganyika leo Tanganyika ipo wapi? nchi yako ni ipi? kwanini unakuwa mtumwa miaka nenda miaka rudi? Tanzania ilipatikana kwaanganisha maneno Zan na Tan, nyinyi watanganyika nchi yenu ni ipi??
 
eti rasimu ya warioba inataka pawepo na benki kuu mbili kwenye nchi moja uliona wapi duniani?

chogo lako ndio limeona hicho tu.. MbaffffffffffYOOOOOOOOOO
 
Warioba chuki zako binfsi usiziweke kweny katba kwan unafikir watanzania hatujui unatumwa na kufadhiliwa na ukawa?
 
Unajua maana ya elimu japo hata kidogo lakini? Faida zake unazitambua ama ni wale wa Book Haram, wanaoshindwa kusoma, kisha wanapoona mfumo wa dunia unawapig chini na hata hawana sifa zozote katika jamii za kuongoza watu wenye uelewa, wanaamua kuwakataza na wengine wasisome na kufanya fujo kwa ajili ya wivu?

At least not today my dear daughter. Kama ulizungusha, nenda karudie hakuna mkato lazima utupwe mbali sana na dunia!.


Rasimu ya Jaji Warioba ilikuwa ni ya kibaguzi inapingana haki za raia ya kuchagua na kuchaguliwa kwamba mbunge lazima na elimu ya kidato cha 4 na zaidi? Huu ni ubaguzi na siyo maoni ya wananchi.
 
Warioba ana hekima na busara kuliko viongozi wote wa ccm ...DR SLAA NA WARIOBA wanatakiwa kupewa tuzo kwa uzalendo wao .
 
Warioba ana hekima na busara kuliko viongozi wote wa ccm ...DR SLAA NA WARIOBA wanatakiwa kupewa tuzo kwa uzalendo wao .
Kama hujui kitu kaa kimya uzalendo gan alio nao slaa anapokea mishahara miwili wa katb mkuu na wakuombwa kuacha ubunge
 
Warioba chuki zako binfsi usiziweke kweny katba kwan unafikir watanzania hatujui unatumwa na kufadhiliwa na ukawa?
 
Warioba chuki zako binfsi usiziweke kweny katba kwan unafikir watanzania hatujui unatumwa na kufadhiliwa na ukawa?
bora mlemavu wa kiungo kuliko mlemavu wa akili kama ww Warioba ana hekima kuliko hata baba yako
 
Back
Top Bottom